Kweli, siku moja CCM itang'oka madarakani; lakini sio 2015!

your right, but it should be 2015 because see Chadema team very organized and capability of the team itself- utaniambia
 
Mbona hata sasa CDM inatawala? Huoni kila jambo linaloibuliwa na CDM rais wa kuchonga analitekeleza bila kufikiri wala kulitilia shaka.
 
Jamii Forum imeanza kupoteza dira. Post kama hizi zinanifanya nishidwe kuchangia kila siku. No analysis, nothing....nothing in it
 
Mwanangu President elect umenichekesha. Unataka CCM ianguke au kung'oka mara ngapi. Hapa issue siyo kama CCM itang'oka au la bali lini kuanzia sasa. Tokomea CCM na nenda mwendazake CCM ukale ugali na Kanu.
 
your right, but it should be 2015 because see Chadema team very organized and capability of the team itself- utaniambia

No.KATACCMCDMJumlaTofautiTofauti Asili mia
1Magomeni (Pwani)1,478.00479.001,957.00999.0051.047522
2Bangata1,117.00881.001,998.00236.0011.811812
3Daraja mbili1,324.002,193.003,517.00(869.00)-24.70856
4Mahenge710.00444.001,154.00266.0023.05026
5Mtibwa1,372.003,096.004,468.00(1,724.00)-38.5855
6Mtele995.00297.001,292.00698.0054.024768
7Mpapai1,443.00280.001,723.001,163.0067.498549
8Luwumbu565.0025.00590.00540.0091.525424
9Malangali1,247.001,418.002,665.00(171.00)-6.41651
10Lwezera1,317.00925.002,242.00392.0017.484389
11Makata808.0038.00846.00770.0091.016548
12Mlelomiembeni818.00138.00956.00680.0071.129707
13Minyenze378.00167.00545.00211.0038.715596
14Karitu854.00354.001,208.00500.0041.390728
15Kiloleni648.00166.00814.00482.0059.213759
16Ipole365.00568.00933.00(203.00)-21.75777
17Bugarama
18Mwananza794.00575.001,369.00219.0015.997078
19Lubili1,108.00620.001,728.00488.0028.240741
20Kitagiri1,416.00157.001,573.001,259.0080.038144
21Kikokona1,149.00367.001,516.00782.0051.583113
22Nanjaraneha1,128.002,370.003,498.00(1,242.00)-35.506
23Kilema Kusini784.00734.001,518.0050.003.2938076
24Vugiri1,460.00337.001,797.001,123.0062.493044
25Tamota1,060.00772.001,832.00288.0015.720524
26Msalato869.00450.001,319.00419.0031.76649
27Mpwapwa1,722.001,189.002,911.00533.0018.309859
28Myovizi1,726.001,498.003,224.00228.007.0719603
29Mpapa903.00310.001,213.00593.0048.887057
JUMLA29,558.0020,848.0050,406.008,710.0017.279689

 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kamanda hakuna cha picha hapo:
  • Chumvi ikiharibika itatiwa nini hata ikolee??????????
  • Ukisha kula muwa unatema maganda...................
  • Tumeona namna wale wasafi kidogo wanavyo ogopa wachafu hivyo wachafu wamezidi kuchanua ndani ya shishiem,hivyo basi usitarajie 1=2????????????wataingia mafisadi tu na wachumia tumbo:target::target:
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kaka nimeipenda hiyo, inamaana mgombea wa shishiem pale Mvomero ndio amezidiwa kwa kura nyingi kuliko mgombea yeyote yule>>.................................duh ama kweli chezea cdm wewe dawa ndiyo hiyo:majani7::majani7::majani7:
 
No.
KATA
CCM
CDM
Jumla
Tofauti
Tofauti Asili mia
1
Magomeni (Pwani)
1,478.00
479.00
1,957.00
999.00
51.047522
2
Bangata
1,117.00
881.00
1,998.00
236.00
11.811812
3
Daraja mbili
1,324.00
2,193.00
3,517.00
(869.00)
-24.70856
4
Mahenge
710.00
444.00
1,154.00
266.00
23.05026
5
Mtibwa
1,372.00
3,096.00
4,468.00
(1,724.00)
-38.5855
6
Mtele
995.00
297.00
1,292.00
698.00
54.024768
7
Mpapai
1,443.00
280.00
1,723.00
1,163.00
67.498549
8
Luwumbu
565.00
25.00
590.00
540.00
91.525424
9
Malangali
1,247.00
1,418.00
2,665.00
(171.00)
-6.41651
10
Lwezera
1,317.00
925.00
2,242.00
392.00
17.484389
11
Makata
808.00
38.00
846.00
770.00
91.016548
12
Mlelomiembeni
818.00
138.00
956.00
680.00
71.129707
13
Minyenze
378.00
167.00
545.00
211.00
38.715596
14
Karitu
854.00
354.00
1,208.00
500.00
41.390728
15
Kiloleni
648.00
166.00
814.00
482.00
59.213759
16
Ipole
365.00
568.00
933.00
(203.00)
-21.75777
17
Bugarama
18
Mwananza
794.00
575.00
1,369.00
219.00
15.997078
19
Lubili
1,108.00
620.00
1,728.00
488.00
28.240741
20
Kitagiri
1,416.00
157.00
1,573.00
1,259.00
80.038144
21
Kikokona
1,149.00
367.00
1,516.00
782.00
51.583113
22
Nanjaraneha
1,128.00
2,370.00
3,498.00
(1,242.00)
-35.506
23
Kilema Kusini
784.00
734.00
1,518.00
50.00
3.2938076
24
Vugiri
1,460.00
337.00
1,797.00
1,123.00
62.493044
25
Tamota
1,060.00
772.00
1,832.00
288.00
15.720524
26
Msalato
869.00
450.00
1,319.00
419.00
31.76649
27
Mpwapwa
1,722.00
1,189.00
2,911.00
533.00
18.309859
28
Myovizi
1,726.00
1,498.00
3,224.00
228.00
7.0719603
29
Mpapa
903.00
310.00
1,213.00
593.00
48.887057
JUMLA
29,558.00
20,848.00
50,406.00
8,710.00
17.279689




Bye bye magamba....Miaka miwili CDM imebakiza wafuasi wenu chini ya 10thousands katika hayo maeneo katika Jumla kuu ya about 50,000 iwapiku uchaguzi ujao kwa simple majority then eti watu wanasema M4C iachwe? What an increase ya popularity katika CDM nchini...Afadhali umewafafanulia akili itakaa sawa...Kwamaana nyingine hayo maeneo CDM inakubalika kwa wapiga kura by just about 50% (about 43%)....

Sasa napata picha kwanini nguvu kubwa inatumika kushauri CDM waache M4C...CDM never dare..Consistence ni muhimu sana ku change attitudes za watu...

Ungeleta na zile za 2010 tuone shift from one party to the other na hapo tutajua marginal growth ni kwa % ngapi in average per year
 
Kama upinzani hauta shinda 2015 tunaweza tusibahatike kuona kwenye hichi kizazi chetu.
 
Back
Top Bottom