Kweli Shibuda ni kero

Amina Thomas

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
272
129
Leo viongozi wa chadema wameonesha ukomavu mkubwa kwa kutozungumza chochote kuhusu Shibuda licha ya wananchiu kushinikiza kiaina hasa pale alipoinuka Heche na kamanda Mbowe.

Kwa kweli sehemu kubwa ya wananchi pale Jangwani walikua na kiu ya kuona Shibuda akitimuliwa rasmi kwenye chama. Muda ulikua unakimbia sana na viongozi walitumia vizuri sana kwa kuzungumzia masuala ya muhimu kama vile katiba na mengineyo.

Hiyo ni hekima kubwa sana kwani haikua busara kuendeleza malumbano yasiyo na msingi na pia kama alikua anatafuta umaarufu pale ndio angeupata hasa. Lakini makamanda wamepotezea na kuonesha iumakini na ukomavu wa kisiasa kwa kufanya mambo ya msingi na maslahi ya wananchi.
 
Pamoja na jina lake kuonyesha kuwa ni buda, jamaa si kero tu bali balaa. Anachofanya ni kuonyesha na kudhihirisha upandikizi. Kimsingi, kama CDM watatumia akili vizuri, wanapaswa kuwa makini na hawa wanaojiunga nayo. Kwa mfano, kama watu kama Lowassa au Rostam wangeamua kujiunga na CDM nisingewapokea. Maana kuwakumbatia watu hatari kama hawa ni kuwasaliti wananchi.
 
Sidhani kwamba Shibuda ni pandikizi , he could have just pretended he hates CCM so much and he could have raise thru ranks to thr top ,since he came wit name recognazation , hapo angekua na uwezo wa kukibomoa chama , hana cheo chochote zaidi ya ubunge he can't do no damage , nafikiri ni tabia yake tuu, CCM wenyewe hawamuamini hawawezi kumtumia, labda anapuliza ili awe na footing nyingine CCM, kikiwaka chadema huyo cheza kama kaseja , simba , yanga then simba
 
Leo viongozi wa chadema wameonesha ukomavu mkubwa kwa kutozungumza chochote kuhusu Shibuda licha ya wananchiu kushinikiza kiaina hasa pale alipoinuka Heche na kamanda Mbowe.

Kwa kweli sehemu kubwa ya wananchi pale Jangwani walikua na kiu ya kuona Shibuda akitimuliwa rasmi kwenye chama. Muda ulikua unakimbia sana na viongozi walitumia vizuri sana kwa kuzungumzia masuala ya muhimu kama vile katiba na mengineyo.

Hiyo ni hekima kubwa sana kwani haikua busara kuendeleza malumbano yasiyo na msingi na pia kama alikua anatafuta umaarufu pale ndio angeupata hasa. Lakini makamanda wamepotezea na kuonesha iumakini na ukomavu wa kisiasa kwa kufanya mambo ya msingi na maslahi ya wananchi.
Bwana She-Buda ni ovyo kabisa, atavuna alichopanda. Maana nina imani ataona aibu kurudi sisiemu.... sina hakika ataenda chama gani. Pia kwa leo katika mkutano wamefanya hekima sana kutomgusia, maana angepata umaarufu sana. Kukaa kimya bado anajiona ni mpumbavu mno.
 
mwenyewe alikuwa anatoa kozi kwa wakuu wa wilaya! eti kujitathmini kwenye uongozi! mganga hajigangi mwanakwetu.
 
Sidhani kwamba Shibuda ni pandikizi , he could have just pretended he hates CCM so much and he could have raise thru ranks to thr top ,since he came wit name recognazation , hapo angekua na uwezo wa kukibomoa chama , hana cheo chochote zaidi ya ubunge he can't do no damage , nafikiri ni tabia yake tuu, CCM wenyewe hawamuamini hawawezi kumtumia, labda anapuliza ili awe na footing nyingine CCM, kikiwaka chadema huyo cheza kama kaseja , simba , yanga then simba

Hajapewa nafasi, amekabwa tangu alipoingia sasa ameamua kupayuka !
 
CDM wanafahamu fika nani anajiunga kwa nia gani katumwa na nani. Sasa baada ya kufahamu kuwa umeshafahamika na waliokutuma wakaanza kukubeza kwa kushindwa kutekeleza ulichotumwa lazima uchanganyikiwe na kuanza kuropoka ovyo. Yeye alidhani CDM wangeharakisha kumfukuza ili akaendelee na ufisadi, sasa anatakiwa aendelee kuwa mbunge na atumikie wananchi wasiokuwa na imani naye tena. Hiyo ni adhabu tosha kabisa kwa mtu mzima hovyoo. Yuko mbioni kuchanganyikiwa, na watakapozidi kumnyamazia ndivyo atakavyozidi kuchoka na kuropoka. Tungoje mengi yanakuja.
 
Hajapewa nafasi, amekabwa tangu alipoingia sasa ameamua kupayuka !

Unapewa nafasi pale ambapo unastahili kupewa nafasi kutokana na matendo yako ndani ya chama. Huyu matendo yake ndani ya chama yalionyesha kabisa kuwa hastahili kupewa nafasi yoyote ya juu katika uongozi na ushahidi unaonyesha kwamba Viongozi wa CDM walifanya maamuzi ya busara kabisa.
 
Pandikizi la CCM ndani ya chadema ni Mbowe, mtakuja kunambia.

We aim high!
 
Pandikizi la CCM ndani ya chadema ni Mbowe, mtakuja kunambia.

We aim high!

We umetoka milembe nini? Utakuwa kichaa wewe. Pandikizi mbowe angelikuwa anakijenga chama? Si angesha kibomoa kingali kdogo? Kwenda zako huko na uchochezi wako wa kitottototototototoototoooooooooooooooo!!!!
 
Pandikizi la CCM ndani ya chadema ni Mbowe, mtakuja kunambia.

We aim high!

Wewe si bule una lako jambo!..... au umetumwa?.. akili yako na she-buda mko sawa. huenda na wewe ni she sema sisi ndo hatujui. shame on you!.....
 
Hajapewa nafasi, amekabwa tangu alipoingia sasa ameamua kupayuka !

Hapo inawezekana kweli kabisa mkuu, wenzake ambao hata sio wabunge kama Lwakatare wanapaishwaa yeye haitwi hata kwenye Mikutano, basi CCM watakuwa walinoa step, kuna watu wangeweza wakawatumia na wafanikisha sio Shibuda
 
naona mzee urud ulikotoka,hata kama kwe2 hatur nyama wenyewe 2mepazoea so plz mzee SHIBUDA vua gwanda kaendelea kuvaa gamba
 
SHIBUDA kushney,anataka aptate hisani kwenye nyinyi-em ili walau apewe kanafasi hapo atakapofukuzwa Chadema.
 
Kwa lugha ya kwetu BUDA ni KUUA, SHI-BUDA maana yake KITU KINACHOUA.Mtu anayevizia watu na kuwauwa anaitwa MNYAmBUDA. Inawezekana alitaka kujaribu kukiua CDM sasa kachemka. SHI-BUDA kavae gamba huko.
 
Back
Top Bottom