Kweli shetani akizeeka.....

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Kuna mama mmoja pale manzese tiptop,huyu ni mnyakyusa,umaarufu anaitwa mama kupilika. Alikuwa na grocery,na kazi yake kubwa ni kuuza vibinti toka mikoani,hasa hasa mtwara masasi na iringa. Yeye anapokuja mteja anavuta cha juu, na anahakikisha mlevi huyo anapata hadi huduma ya ngono! Binti akigoma anapata mateso ya kutisha! Cha ajabu alikuwa na wanawe wa kuzaa hakuwashirikisha ktk shughuli hizo! Eti sasa hivi kajifanya ameokoka! Na anaimba kanisani kutwa! Na kujifanya kutoa vimisaada vyake! Lakini tabia yake hajaiacha kikamilifu. Tumfanyeje!?
 
kwa hiyo bado hajazeeka kama akizeeka huwa anabadilika kuwa malaika..
 
Amejikamafleji kuwa mlokole na vibinti vigeni toka vijijini bado vinamuamini ile mbaya! Ila ni nyoka! Kawatenda mabinti wengi alowachukua kwa wazazi wao eti kuwapa kazi za ndani,wote wameishia kuwa mabaa maid na mimba kedekede! Ushahidi upo!
 
Sasa kama ushahidi upo simumshtaki. . . .

wapo waliozalishwa na wamekwenda kuwa mabaamaid maeneo mbalimbali japo ni waoga ila wakipata wataalam wa ushauri wanaweza kufunguka! Msaada wa washauri pls!
 
may be he is still a work in progress.....
Mambo ya kiroho ni magumu.
 
Kumbe watu dizaini hii bado wapo? Huu umaskini utatuua. mkuu wa nchi anasema ni viherehere vyao
 
wapo waliozalishwa na wamekwenda kuwa mabaamaid maeneo mbalimbali japo ni waoga ila wakipata wataalam wa ushauri wanaweza kufunguka! Msaada wa washauri pls!
Wewe kinakuzuia nini kuwashauri kama umeguswa kweli?
 
sina taaluma ya ushauri nasaha! Mi ni lawyer,nimejitahidi kuwabembeleza wanamwogopa ile mbaya!

Sasa kama wewe ni mwanasheria (should be able to convince people) umeshindwa pamoja na kwamba unaweza ukawa umewaambia sheria iko upande wao nani ataweza?
 
kazii ni kazi hata bar mediii ni kazi,wengine wamesoma hadi chuo kikuu leo ni ma menejaaa still mama zao walikuwa wauza bar hao ma baa medi mjini,usidharau kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom