Kweli pesa ni jawabu la yote dunia! Nasri aenda Man City

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
23 Agosti 2011 13:14

?

Manchester City wamekubaliana na Arsenal kumsajili kiungo Samir Nasri. Nasri sasa anaelekea mjini Manchester kwa ajili ya vipimo vya afya.

Nasri alifanya mazoezi na Arsenal siku ya Jumanne asubuhi kujiandaa na mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Udinese, utakaochezwa Jumatano. Hata hivyo jina lake liliondolewa kwenye orodha ya wachezaji.

Kiungo huyo kutoka Ufaransa anakwenda Manchester pia kukamilisha mkataba wake ambao unadhaniwa kuwa na thamani ya pauni milioni 25.

Meneja wa City, Roberto Mancini alisema siku ya Jumapili kuwa anataka kumsajili Nasri ndani ya kipindi cha saa 48.
 
Mwaka huu inabidi nisishabikie Arsenal maana ni uginjwa wa moyo labda kama atanunua wachezaji zaidi ya wawili wa nguvu vinginevyo acha nibaki na simba yangu mpaka hapo baadae.....
 
Nilifadhaishwa sana kuondoka kwa #Fabrigas lakini hii ya #Nasri kweli inauma sana dah!
 
vijana wanataka pesa na trophy sasa wenger anakuza vipaji ndio walio juu wanasepa, lakini city mbona wanaibomoa arsenal
 
Mpira ulaya ni biashara Arsenal, wamepata faidi kwa kutokana na kumuuza Nasri na Fab.
Lakini ni uzuni mkubwa kwa mashabiki wa Arsenal
 
arsenal nao wantaka kumchukua KAKA ssa huyo NASRI hadi huruma sijui plae Man City atacheza namaba ya nani?hebu akakkkalie benchi hadi apate ugonjwa wa kuuma ******
 
arsenal nao wantaka kumchukua KAKA ssa huyo NASRI hadi huruma sijui plae Man City atacheza namaba ya nani?hebu akakkkalie benchi hadi apate ugonjwa wa kuuma ******

Huyu kijana kakosea Step. yule Silva yupo juu sana sasa hivi. Labda abadilishwe number kama young alivyofanya pale man u.
 
Siku zote hakuna kitu kibaya kama kumng'ang'ania mchezaji!!kwa ufupi tu ni kwamba atajutia baada ya muda !!mfano yu wapi tena hleb??flamini??reyes??na wengineo walioleta kiburi na kuondoka??wanakuwa na majina sababu ya arsenal na mfumo wa wenger na siyo kingine na pindi wanapoondoka wanakuwa hawaendani na mifumo ya vilabu vingine matokeo yake huishia kuuzwa kwa mikopo vilabu vya chini kabisa.viva arsenal viva wenger.to me arsenal forever.
 
arsenal nao wantaka kumchukua KAKA ssa huyo NASRI hadi huruma sijui plae Man City atacheza namaba ya nani?hebu akakkkalie benchi hadi apate ugonjwa wa kuuma ******

naona humjui Nasri vizuri wewe....pale aanumber ya kudumu na atawapigisha bench watu ila kuondoka kwake ndio kifo kwa arsenal.
 
[h=2]Baadhi ya wachezaji wa Arsenal na Wenger watoa maoni yao.[/h]

Saa moja baada ya Arsenal kuthibitisha kukubaliana na Man City juu ya ada ya uhamisho wa Samir Nasri, kocha wa Gunners na baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wametoa maoni yao.
WENGER: "Siku zote kuondoka kwa mchezaji muhimu kunakuwa na effects Fulani ndani ya timu, inaweza kuwa positive kwa timu mkiwa vizuri kiakili kwa sababu inaongeza umoja kwa kujua tunatakiwa kupigana zaidi.

EMMANUEL FRIMPONG: "Pesa ndio mzizi wa ushetani"
JACK WILSHARE: "Nakutakia heri rafiki yangu Mr. Nasri. Nimejifunza mengi kutoka kwako, mchezaji wa daraja la juu. Nitakukumbuka.

ROBIN VAN PERSIE: "All the best Nasri kwa klabu yako mpya. Ahsante kwa yote mazuri."
 
Pesa na big ambitions!! jamani mwacheni achague what's best for him, ana familia ya kuilisha. Utan'ang'ania timu moja wakati ukienda nyingine mshahara una-double na kuna possibility ya kuchukua vikombe?
This is business wakuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom