Kweli nimsamehe huyu binti?

Jestina twende polepole.........................amuulize kwanza kabla ya yote.....................na huo ndiyo kutendeana ubinadamu...................

sidhan kama kuna suala la kujadili hapa, kwan bint kaonyesha ujanja kwa kutoka kwa mwaka mzma bila jamaa kujua. hvyo imeonyesha jins bint alivyomzoefu na anaelewa afanyalo. mkuu fanya maamuz mazito
 
Usifanye maamuzi ya haraka! Kwnye maelezo yako cjaona kama umemuuliza huyo bi shost kuhusu hilo swala sasa utafanyaje maamuzi kabla ya kusikiliza upande wa pili? What if kama ni m2 2 anawaharibia mahusiano yenu?busara muhimu hapa

kunaweza kuwepo umuhmu wa kujadili ila pia kuna suala la tabia na hulka ya mtu ni ngumu kuibadili. kama wakat wa urafiki anachanganya wapenz je ukioa itakuwaje? kama katenda jambo kwa mwaka mzima inaonyesha anajua kutumia muda vzuri.
 
Jestina twende polepole.........................amuulize kwanza kabla ya yote.....................na huo ndiyo kutendeana ubinadamu...................
mh! pishi limeshaiva mjukuu wangu! wasubiri lipoe wakati wajua ulichopika ni supu ya mbwa utainywa baridi wewe?!! teh teh teh!! mjukuu unataka suruhisho la kushea mapenzi au? teh teh! wajukuu wangu bwana, eti umuulize mwizi ameiba kweli?!! teh teh te!!!!!
 
mi naona wanangu, hoja mnazo tetea ni kutaka kwanza asikilize upande wa pili, sawa kabisa wajukuu zangu, hili alishalitambua mwenyewe na alilifanyia uchunguzi mfano mabadiliko kwani alishasema he was being cheating by huyo wake kwa kuanzia kipindi cha mabadiliko yake ya kupm wanaume wawili kama wapenzi wake, mazingira kishapewa, kaliona hilo mwenyewe bado akaulize tena kwamba anaibiwa?!!! teh teh teh!! tatizo mnapenda kuangalia filamu za ki...go, nyingi ya hizo hazina maadili sawa na hivo napendekeza muwe mnanisikiliza mimi babu yenu enzi na bibi yenu. teh teh teh!!
 
kiukweli kaka yangu kwa sasa sahau kupata wa peke yako maana kwa jamii ya siku hizi tumezowea kuanza mapenzi mapema sana ndo maana hakuna mapenzi ya dhati na kama unavyojua kwamba kila mtu ana testi yake ya mapenzi kwa mfano wengine wanatulia tu wakati wa kitendo na wengine munashirikiana wakati wa tendo nakadhali sasa huwezi kukaa na mpenzi mmoja kwa sasa kwa sababu tushazowea kupita kwa wanadada wengi na kinadada nao washapita kwa wanaume wengi tofauti na wazee wetu wa zamani wao walikuwa mpaka waowe ndo wananza kukutana kimapenzi na ndo maana walidumu sana kwa sasa ngumu hata kwa wenye ndoa zao kaka ni lazima watatoka nje labda mtu aliyekuwa hajawahi kufanya mapenzi na mtu mwengine yoyote isipokuwa huyo aliemuowa
 
Mimi mwenyewe nilishapata Mrombo mmoja jina Celina Owisso sasa analiwa Dar,ni kama hao,umaskini na wengine ata kutokwenda shule kama huyo wa kwangu inawasababishia matatizo huku wakifikiri ujinga tuuu.
 
Don't suffer pick another one. Pressure inapanda, pressure in shuka. You never know with a woman
 
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi wangu mimi kwamba namwandikia meseji za mapenzi huyo binti,nilivuta pumzi na kumsikiliza vizuri,nikamuuliza wameanza lini uhusiano njemba ikaniambia wameanza mwaka jana mwezi wa kwanza so wana almost mwaka mmoja.na hapo hapo mimi nina uhusiano nae wa miaka mitatu.akanieleza habali zote za kuhusu huyo mpenzi wangu hadi lini ame kuwa nae na mda ambao mara ya mwisho amekuja kwangu kwa kumwambia huyo njemba eti anaenda kusalimia kaka ake amekuja toka mkoa.kumbe yupo kwangu.sasa nikamwambia huyo njemba kwamba yeye ndo ameingilia mapenzi yangu na huyo binti yeye mwaka mmoja mi mitatu,kweli sikuamini kama kweli huyu binti anaweza akanifanyia hivyo ilibidi nianze kuhusisha na matukio ya nyuma nikaona kweli kuna utofauti ya kwamba amekuwa aki nicheat.naombeni ushauri hapa nifanye nini na binti nampenda..

stuka toka nduki..
 
mi naona wanangu, hoja mnazo tetea ni kutaka kwanza asikilize upande wa pili, sawa kabisa wajukuu zangu, hili alishalitambua mwenyewe na alilifanyia uchunguzi mfano mabadiliko kwani alishasema he was being cheating by huyo wake kwa kuanzia kipindi cha mabadiliko yake ya kupm wanaume wawili kama wapenzi wake, mazingira kishapewa, kaliona hilo mwenyewe bado akaulize tena kwamba anaibiwa?!!! teh teh teh!! tatizo mnapenda kuangalia filamu za ki...go, nyingi ya hizo hazina maadili sawa na hivo napendekeza muwe mnanisikiliza mimi babu yenu enzi na bibi yenu. teh teh teh!!
Babu nimekusikia,
 
Asanteni kwa ushauri wakuu kweli nimefanyia kazi mawazo yenu inauma sana kuachana na umpendae lakini kwa dunia ya sasa na magonjwa yalivyoshamili inabidi maamuzi magumu kufanywa. Kwa kweli nimechukua maamuzi magumu. Asanteni sana kwa kila mmoja aliyechangia mmenipokea vyema. Kwa sasa am single boy
 
fukuzia mbali usifuge jambazi utapata mwingine wa ukweli,hao wapo wengi na gharama ya kumrudia ni mara 2 ya sasa anavyokuibia
 
Saa ya ukombozi ni sasa. Kumfuatilia mwanamke ni kazi ambaye inajitegemea na inabidi ulipwe.
 
duh! huyu binti nampa salute lol! mwaka mmoja anabalance equastion na hamujamshtukia na wote anawazirisha bila maugomvi dah! kwli hii ni zaidi ya sekreto damori
:focus: achana nae mana kama kaweza kuficha maovu kwa mwaka mmoja iyo ina mana hata ukimuoa ndani utamegewa wewe hata na mlinzi wa geti lako bila kujua mana anaonekana anajua sana kutunza siri na ni mzoefu . soni hana ,uoga hana kumgundua itakua tabu.....chapa ndala ndefu mjomba
 
Kaka pole sana kwa yaliyokukuta. Mimi siwezi kukushauri lolote katika hili ila jambo ambalo nitakushauri ni just follow what your heart tells you do and what you think its the right thing to do

E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
siku zote demu akiwa na mtu mwingine ilhali yupo nawewe, manake hakupendi, la sivo asingeweza kufall na kumpenda huyo mwingine,....we fikiria, angali yupo nawe, ila anapanga meeting na mshkaji, wanaingia rum, anavua nguo, sidiria, tyt, chupi, then anatanua miguu, jamaa anapiga mambo yetu.....afu kesho anarudi kwako?? huyo piga chini man, ana roho mbaya kuliko ya mtoa roho, yani sio tu hafai kuwa mke, bali hata rafiki wa kawaida...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom