Kweli nimsamehe huyu binti?

NONGWA

Senior Member
Mar 10, 2012
142
116
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi wangu mimi kwamba namwandikia meseji za mapenzi huyo binti,nilivuta pumzi na kumsikiliza vizuri,nikamuuliza wameanza lini uhusiano njemba ikaniambia wameanza mwaka jana mwezi wa kwanza so wana almost mwaka mmoja.na hapo hapo mimi nina uhusiano nae wa miaka mitatu.akanieleza habali zote za kuhusu huyo mpenzi wangu hadi lini ame kuwa nae na mda ambao mara ya mwisho amekuja kwangu kwa kumwambia huyo njemba eti anaenda kusalimia kaka ake amekuja toka mkoa.kumbe yupo kwangu.sasa nikamwambia huyo njemba kwamba yeye ndo ameingilia mapenzi yangu na huyo binti yeye mwaka mmoja mi mitatu,kweli sikuamini kama kweli huyu binti anaweza akanifanyia hivyo ilibidi nianze kuhusisha na matukio ya nyuma nikaona kweli kuna utofauti ya kwamba amekuwa aki nicheat.naombeni ushauri hapa nifanye nini na binti nampenda..
 
simple answer. Achana naye ukiona unashindwa endelea kushare mapenzi huyo binti atakuwa anatumika tu kama kijiko cha hotel
 
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi wangu mimi kwamba namwandikia meseji za mapenzi huyo binti,nilivuta pumzi na kumsikiliza vizuri,nikamuuliza wameanza lini uhusiano njemba ikaniambia wameanza mwaka jana mwezi wa kwanza so wana almost mwaka mmoja.na hapo hapo mimi nina uhusiano nae wa miaka mitatu.akanieleza habali zote za kuhusu huyo mpenzi wangu hadi lini ame kuwa nae na mda ambao mara ya mwisho amekuja kwangu kwa kumwambia huyo njemba eti anaenda kusalimia kaka ake amekuja toka mkoa.kumbe yupo kwangu.sasa nikamwambia huyo njemba kwamba yeye ndo ameingilia mapenzi yangu na huyo binti yeye mwaka mmoja mi mitatu,kweli sikuamini kama kweli huyu binti anaweza akanifanyia hivyo ilibidi nianze kuhusisha na matukio ya nyuma nikaona kweli kuna utofauti ya kwamba amekuwa aki nicheat.naombeni ushauri hapa nifanye nini na binti nampenda..

endelea kumpenda halafu akuletee ngoma kama wewe ni limbukeni wa mapenzi na unamoyo wa kupenda sana. Acha ukilaza wewe yaani bado unampenda? What? A're u mad? Unataka ushahidi gani tena kuwa sio mwwaminifu? Huyo alikuwa ametega ndoana mbili.itakayowahi kuanasa basi ndio huyo huyo..alikuwa anasikilizia nani atakolea mapema atangaze ndoa.
 
heeeh, kuna ushauri tena hapa jamani??
Pima nguvu za kifua chako tu.

Ila huna mke kama una nia ya kuoa, piga piga wakati unajipanga kutafuta mpenzi wa kudumu.

Usisahau usalama wako.
 
achana naye,tunaishi times za magonjwa,mtu yeyote akikuonyesha tabia za kukosa uaminifu unaachana naye other wise utaletewa magonjwa ndani.....muite huyo msichana,umwambie yote uliyoambiwa....
,na kwa nini amefanya hivyo.?.. kuna alichokikosa....?because u deserve some explanation.!..kisha mpe kibuti.....siku za kwanza itakuwa hard ila ukikata ties na mavitu yote mliyokuwa mnafanya pamoja...then utazoea taratibu
 
heeeh, kuna ushauri tena hapa jamani??
Pima nguvu za kifua chako tu.

Ila huna mke kama una nia ya kuoa, piga piga wakati unajipanga kutafuta mpenzi wa kudumu.

Usisahau usalama wako.

apige pige nini sasa? Hilo ni lidubwasha halifai inabidi akate uzi jumla tena kimya kimya maana akirudi linawweza kubembeleza hata kwwa kutumia ndumba ili arudi kama huyo jamaa mwingine naye ataamua kupiga chini. Dawa ni kupiga chini tu.
 
achana naye,tunaishi times za magonjwa,mtu yeyote akikuonyesha tabia za kukosa uaminifu unaachana naye other wise utaletewa magonjwa ndani.....muite huyo msichana,umwambie yote uliyoambiwa....
,na kwa nini amefanya hivyo.?.. kuna alichokikosa....?because u deserve some explanation.!..kisha mpe kibuti.....siku za kwanza itakuwa hard ila ukikata ties na mavitu yote mliyokuwa mnafanya pamoja...then utazoea taratibu

Jestina twende polepole.........................amuulize kwanza kabla ya yote.....................na huo ndiyo kutendeana ubinadamu...................
 
Jestina twende polepole.........................amuulize kwanza kabla ya yote.....................na huo ndiyo kutendeana ubinadamu...................

no ubinadamu hana huyo dada,no she doesnt deserve second chance....angekuwa binadamu angetafuta wapi penye tatizo akaongea na mshikaji wake wakatatua,sio kwenda kutafuta alternative.....aende tu huko anakokwenda vizuri,kwanza ningekuwa huyu kaka ningepima status yangu kiafya ikoje......?
 
Umenikumbusha wakati niko UDSM nilikuwa na mahusiano na binti fulani. Kuna siku nilipokea simu ya njemba fulani ambaye awali yule binti aliniambia ni binamu yake! Nikashangaa ile njemba inapanic, kumbe binti alinitambulisha kwa ile njemba kuwa mimi ni mwanafunzi mwenzake na huwa nafanya naye discussion! What a non sense! Mimi nilimzidi mwaka mmoja na pia tulikuwa tunasoma kozi tofauti. Baada ya kumdadisi jamaa, akasema kuwa yule binti ni mchumba wake! The point here is that: SIKU ZOTE USIDHANI KUWA UNAIBIWA, INAWEZEKANA WEWE NDIYE MWIZI BILA KUJUA. KAMA MWANAMKE HANA UHAKIKA WA KUOLEWA NAWE, NA HAELEWI MSIMAMA WAKO, SAHAU KUWA PEKE YAKO. LAZIMA KUNA MAJAMAA MENGINE YANAMEGA!
 
Hilo halina ubishi kaka. Achana naye that's all kuna mademu wengi mjini hapa.
 
inawezekana anacheat kweli, na inawezekana kuna mtu anataka kuwaharibia...

Mwenye jibu ni binti....
Then sikiliza moyo wako unaamua nini....
 
Achana na huyo binti, atakupeleka mahali pabaya, kwa kuwa ameonesha mapema kuwa siyo mwaminifu.
 
hilo njemba limetumwa na wavurugaji. Anamumega demu ana maelezo yote hayo kwako? Fanya upelelezi utamuacha upate mlupo zaidi ya huyo. Mademu wenyewe wamejaa milupo tu!
 
Ongea vizuri na hiyo njemba kama wanaume, mwambie ni kwa kiasi gani mnafanywa watoto na huyo mpenzi wenu... THEN MUAPOINT KAMEETING MUMWITE HUYO DEMU AJE (bila yeye kujua kama anaitiwa kuumbuliwa) if pocibo sehemu tuliivu ambayo haina population kubwa
Akija mnamtokea wote wawili mnam'bananisha maswali ikiwezekana mnampiga mikofi kabisa coz anachezea hisia na afya za watu pumba* zake
 
samehe mara saba sabini wewe hujawahi kucheat,wewe muulize akikiri na kuomba samahani msamehe akibisha mpige chini,pengine wewe hueleweki ndio maana amekuwa na nyie wote ila kuwapima,what security have u given her to make her feel secure with u mi nimewahi kuwa na m2 3 years later namuuliza vp mipango ananiambia i just wanted u for a girlfriend men men be serious
 
Wewe mlete thread,huyo binti na hilo linjemba mna umri gani?
 
mi nimewahi kuwa na m2 3 years later namuuliza vp mipango ananiambia i just wanted u for a girlfriend men men be serious

inaonekana jamaa alikuwa mstaarabu sana; angekuwa mwingine angesema wazi tu kwamba 'nilitaka kukumega tu' teh teh teh
 
so far umepata story ya upande mmoja... kwa vile tayari una data muhimu ulizopewa na hiyo njemba, hebu muweke huyo binti kitimoto ili upate her version of the story then fanya maamuzi magumu... btw, uzoefu unaonyesha kwamba 'last in' ndiye anayependwa zaidi na probably ameletwa in the picture ili ku-supplement udhaifu wako kifedha, kingono, kimuonekano etc
 
Usifanye maamuzi ya haraka! Kwnye maelezo yako cjaona kama umemuuliza huyo bi shost kuhusu hilo swala sasa utafanyaje maamuzi kabla ya kusikiliza upande wa pili? What if kama ni m2 2 anawaharibia mahusiano yenu?busara muhimu hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom