Kweli nimrodi mkono jembe la ccm:baada ya kutoa mikwara ,wamrudisha kundini

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Unapotoswa na chama kama ccm kwenye uchaguzi wa kwanza na kuamka
mbele ya press kusema nikitoswa mbele ya safari ccm patachimbika na leo
jina lake limerudishwa tena kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi
sitoacha kukusifu mzee wangu kweli wewe jembe kidume cha mbegu akugusae
amegusa mboni ya jicho lake kwa kweli...kila la kheri na uchaguzi mzee wangu
 
du! kweli jamaa mkare,alivyopiga mkwara nilijua atatoswa kabisa,kama amerudi uyo jamaa ni mkare
 
watu wote wanaompenda mzee mkono wangekuwa nyuma yake hivyo huko musoma hapangetosha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom