Kweli nimeamini CHADEMA ni noma!

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Mimi leo nimeamini CHADEMA ni noma.

- Ni chama cha kwanza cha upinzani kusambaratisha CCM hadi kuvua watu uongozi
- Chama cha kwanza upinzani kufuta ajira za watu CCM
- Chama cha kwanza kukikosesha chama cha ccm na ni chama ambacho Makamba na Chiligati hawatakisahau.
 
Acheni hata hawa walioingia leo tuwakimbize mpaka warushe viatu nyuma, wataendelea kuiona CDM kaa la moto la jiwe ...
 
Huu ni mwanzo tu...wataendelea kuweweseka kwa sana tu.

:peace:
 
Mimi leo nimeamini CDM ni noma. Ni chama cha kwanza cha upinzani kusambaratisha CCM hadi kuvua watu uongozi,ni chama cha kwanza upinzani kufuta ajira za watu ccm,ni chama cha kwanza kukikosesha chama cha ccm na ni chama ambacho Makamba na Chiligati hawatakisahau.

Mzee Makamba siku moja alinipa hadithi ya Tumbili na Komba, eti tumbili alikutana na komba akamuuliza vipi bana mbona macho mekundu, komba akamuambia eti sababu ya vilio, amepata misiba mingi sana, wakati wanaagana Komba akaona makalio ya tumbili naye akamuuliza vipi bwana mbona hapo kwenye makalio hakuna manyoya, tumbili akamjibu ni vikao bana eti siku hizi amekuwa ni mbunge wa viti maalum wa CDM, kila kukicha, vikao, maandamano, makongamano na semina. Mwisho mzee Makamba akasema wote tumbili na komba ni waongo wakubwa.
 
Wananchi wameamka siku siku hizi hakuna kudanganywa! wanasingizia kujivua gamba, hakuna lolote hapo.
 
Mzee Makamba siku moja alinipa hadithi ya Tumbili na Komba, eti tumbili alikutana na komba akamuuliza vipi bana mbona macho mekundu, komba akamuambia eti sababu ya vilio, amepata misiba mingi sana, wakati wanaagana Komba akaona makalio ya tumbili naye akamuuliza vipi bwana mbona hapo kwenye makalio hakuna manyoya, tumbili akamjibu ni vikao bana eti siku hizi amekuwa ni mbunge wa viti maalum wa CDM, kila kukicha, vikao, maandamano, makongamano na semina. Mwisho mzee Makamba akasema wote tumbili na komba ni waongo wakubwa.

BORA WAJUKUU ZAKE... WAMEPATA BABU MWENYE HADITHI... MAANA... Ila thijui kama kidhungu kinapanda?
 
:love:

Tatizo la CCM they deal with persons and not with issues ambazo zimewadrive kufika hapa...

Sidhani kama tatizo CCM ni wakina-Chilligati tu...they have a bigger problem than that...

Swali wanalopaswa kujiuliza ni kuwa je wameshughulikia matatizo waliyonayo hadi hapa? Wakiona kutoka kwa hawa ndio kuvua gamba la zamani na kuvaa jipya linaloashiria zama mpya wanajidanganya maana hao wapya nao watajikuta ni sawa na NYANI MPYA KWENYE MSITU WA ZAMANI.....Ngoma ipo maana culture CCM waliyoijenga ni ngumu kuifumua, ni kama kujivua ngozi na si gamba tu

Na kwa mantiki hii bado watatokwa jasho sana tu....ndio kumekucha
 
Acheni hata hawa walioingia leo tuwakimbize mpaka warushe viatu nyuma, wataendelea kuiona CDM kaa la moto la jiwe ...

naomba sana wale sahani moja na yula mama sijui jina alake
Nnape nauye huyu hata ndani ya ccm yenyewe walishawahi kumkataa
 
Mzee Makamba siku moja alinipa hadithi ya Tumbili na Komba, eti tumbili alikutana na komba akamuuliza vipi bana mbona macho mekundu, komba akamuambia eti sababu ya vilio, amepata misiba mingi sana, wakati wanaagana Komba akaona makalio ya tumbili naye akamuuliza vipi bwana mbona hapo kwenye makalio hakuna manyoya, tumbili akamjibu ni vikao bana eti siku hizi amekuwa ni mbunge wa viti maalum wa CDM, kila kukicha, vikao, maandamano, makongamano na semina. Mwisho mzee Makamba akasema wote tumbili na komba ni waongo wakubwa.
hahhhahahahahhahahah!! hii imenichekesha sana ndugu
 
Chadema tunasema hivi hawa waliofukuzwa uongozi ccm ndo mtaji kwetu,nina uhakika kuwa this is a proceeding point na kufikia 2015 kitakuwa kimeeleweka.
 
Maadam unaonekana uko karibu sana na Makamba, hebu muulize ilikuwaje wakati akiwa Mwalimy wa shule ya Msingi huko KIGOMA, akaenda KUBAKA katoto ka watu? Alikalipa walau fidia?

Je alishaenda kukijulia hali kibinti hicho? Je alifuatilia kama HAKIKUPATA MIMBA?

Kuna falsa kubwa sana kwenye hizi hadithi, kuhusu kizungu huyu babu anajua cha kumtosha ku survive Los Angels bila tour guide.
 
Back
Top Bottom