KWELI NASHANGAA tz

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Eti police, wanajeshi wanaonyesha utaalamu wao ( kuvunja matofali kwa kichwa) wakizamani enzi za ROMA. Wakati usA , iran, russia, france, ndo kwanza makombora ya masafa mareeefu na ndege ziczo na RUBANI. tutawakuta? Au tusijisumbue kabisa. Dah
 
Nafikiri ndugu zangu hamna utaalamu kny '' covert operations'' ukiwa na vikosi vizuri vya commandos ni better kuliko hiyo midege na makombora.
 
Back
Top Bottom