Kweli namna hii tutafika?

Aug 17, 2009
60
4
Alhamis iliyopita nilimpeleka mtoto akapate chanjo kwenye hospital ya pale ukonga magereza,wakasema ijumaa na j3 ndiyo wanatoa,nikaona niende j3 jana,waka2ambia dawa za chanjo hakuna mpaka wiki ijayo,watu wawe wanakuja kuangalia kama zimekuja.Hiv serikal iko serious kwel?,kama dawa za chanjo hakuna nina uhakika huko kwingine ndiyo mbaya zaid.
 
Kwani Walikumbia Kituo hicho pekee au Tanzania Nzima?, Tafuta kitu mtoto akapatiwe chanjo labda hicho kituo ni wazembe.
 
Likwanda Hata kama ni hicho kimoja wangapi wanafuata huduma hapo?,je kweli uzembe wakutokuwa na dawa?unataka kusema hospital haijafuata kwa wiki nzima wawe wanarudisha wa2 na wakijua kabisa wanazidi kuongezeka kila cku?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom