Kweli mtu huyu bado anafikiria kukubalika kuwaongoza tena Watanzania ?

Mbunge

Senior Member
Aug 7, 2008
104
10
NI NANI HUYU ?

1. Anashirikiana na wasio wazawa ili kuikamua nchi na hata msipokuwa na maziwa yuko
tayari kuwakamua damu.

2. Wakati ng'ombe katika jimbo lake wanakufa kwa kukosa majani badala ya kusaidia
kuhamisha ng'ombe wote wa wanajimbo lake yeye kawanunua baadhi kwa bei rahisi na
kwenda kuwafuga kuliko na majani.

3. Matumizi yake ya kila siku hayapunguia shilingi nusu milioni.

4. Anatumia ujanja kuwajengea watoto wake biashara kwa kutumia makampuni ya umma na
serikali.

5. Amelazimisha uwekezaji katika makampuni mbalimbali ya wawekezaji kutoka nje.

6. Anadaiwa mabilioni na watu ambao amekwishawahikishia yeye lazima awe rais baada
ya rais aliyepo.

7. Amehakikisha wanawake kadhaa ambao hawana vigezo wala sifa za kuwa wabunge wala
mawaziri wamepenyezwa kiujanja na leo eti baadhi yao ni wabunge na mawaziri.
Haifahamiki, hata hivyo, kama hizi ni nyumba ndogo za kudumu.

8. Anatumia magazeti ya raia mmoja mwenye asili ya Kiafghanistan (Karzai) kumfagilia
njia ya kujitoa kwenye uozo ambao baba wa taifa alimlebo yeye na jamake Malechela.

9. Ambaye amenunua karibu wahariri na waandishi wote katika vyombo vya habari vya
binafsi na vile vya umma.

10. Kubwa lakini sio la mwisho, bwana huyu amepanga kwa kutumia hela za hao Wahindi
na Maburushi kuwanunua wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CCM ili wajumbe hao siku ya
siku wasilirudishe jina la Mheshimiwa, kipenzi chetu Jakaya Mrisho Kikwete katika
majina ya watu 5 wa mwisho watakaoteuliwa kuwania nafasi ya kugombe a urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eti jina lake lisiwepo.
 
Kama JK ni kipenzi chako nadhani na wewe ni sehemu ya tatizo na itakuwa ni vigumu sana kutafuta suluhu ya tatizo wakati wewe mwenyewe ni sehemu ya tatizo.
 
Kama JK ni kipenzi chako nadhani na wewe ni sehemu ya tatizo na itakuwa ni vigumu sana kutafuta suluhu ya tatizo wakati wewe mwenyewe ni sehemu ya tatizo.

Abdulhalim ww umenena inaonekana huyu nae yuko group lile lile
 
Kama JK ni kipenzi chako nadhani na wewe ni sehemu ya tatizo na itakuwa ni vigumu sana kutafuta suluhu ya tatizo wakati wewe mwenyewe ni sehemu ya tatizo.

no wonder sijawahi soma posti yako hata moja mbayo umeelezea point! kila wakati we ni kashifa. kwani we umeumbwaje?
 
NI NANI HUYU ?

10. Kubwa lakini sio la mwisho, bwana huyu amepanga kwa kutumia hela za hao Wahindi
na Maburushi kuwanunua wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CCM ili wajumbe hao siku ya
siku wasilirudishe jina la Mheshimiwa, kipenzi chetu Jakaya Mrisho Kikwete katika
majina ya watu 5 wa mwisho watakaoteuliwa kuwania nafasi ya kugombe a urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eti jina lake lisiwepo.

Umeandika kishabiki sana kiasi kwamba hata kama kuna vipoints vimemezwa na USHABIKI na mapenzi ambayo sio ya kweli.

No wonder Tanzania ni maskini, Mbunge ninaweza kubashiri kuwa wewe umeajiriwa au umepewa kazi kwenye chama au serikalini, so unalinda TUMBO tu hapo.
 
Naomba tuwekee jina la huyu mtu ili tuweze kumjadili ipasavyo
 
Yaani ukitaka kujua kujua mtu hana uhakika na akisemacho ndio kama muazisha mjadala huu,
no name, no source,kama ze komedi vile
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom