Kweli Mh.Makamba anafurahisha!

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Nikiwa sina hili wala lile, nikaona vijana wa sisiem wakifanya gwalinde mbele ya viongozi wa kitaifa wa Chama. Mara nikamsikia Mh. Makamba akiwaambia vijana..."Kesho mje...kutakuwa na pilau...mnywe uji kabisa nyumbani, mchana pilau hapahapa....msije aguka..."

Nawasilisha!
 
Tumeshamzoea. Nami nimeona na kusikia. Hana kitu huyo, mpuuze tu!! Udhalilishaji huo!!
 
Mimi hunihuzunisha......ana masihara sana.....hayuko makini na anasema nini kwa wakati gani....anafanya utani kwenye issue serious....:sick:
 
Yamkini umri wake ma masihara yake ni wakati muafaka wa kuachia ngazi na kudhinda alaonga na wajukuu zake kama ada ya uamaduni ulivyo
 
CCM siku hizi haina mvuto ni kulazimisha watu na mabasi na pilau ili wakawasikilize. hahahahhaahha
 
Tehe teheee, watoto wanaanza kufundishwa kupokea rushwa, yaani wanashawishiwa kuhudhuria kwa malipo ya pilau. Sijui hii imekaaje,
 
Nikiwa sina hili wala lile, nikaona vijana wa sisiem wakifanya gwalinde mbele ya viongozi wa kitaifa wa Chama. Mara nikamsikia Mh. Makamba akiwaambia vijana..."Kesho mje...kutakuwa na pilau...mnywe uji kabisa nyumbani, mchana pilau hapahapa....msije aguka..."

Nawasilisha!

Hivi bado una ubavu wa kumwita Makamba mheshimiwa?Ana heshimiwa kwa lipi hasa.
 
Z guy knows how cheap r z tanzanians thats it na ndio maana yuko confident kuongea hayo mautumbo
kwani anajua a good number ya hao waliodhalilishwa will show up on pilau day......
Aibuu sana kuwa na watu viazi kama hawa ktk taasisi kubwa zinazoendesha inchi...
 
Anajua sana madhara ya maneno yake kwani kama ni lawama basi ameshazipata sana kutokana na kauli zake nyingi tata. JK anatakiwa amuondoe tu pale ndiyo njia pekee ya kumsaidia.
 
Nikiwa sina hili wala lile, nikaona vijana wa sisiem wakifanya gwalinde mbele ya viongozi wa kitaifa wa Chama. Mara nikamsikia Mh. Makamba akiwaambia vijana..."Kesho mje...kutakuwa na pilau...mnywe uji kabisa nyumbani, mchana pilau hapahapa....msije aguka..."

Nawasilisha!

Nimecheka sana niliposoma hii, huyu mzee ndio maana anaongea pumba kila wakati. Yeye anafikiri kila mtu ana shida no wonder ccm inatuona sote tuna shida wanataka kutuendesha kama magari yaliyokosa magurudumu. Duh! aende akamwambie January na Mwamvita asituletee upuuzi wake hapa.
 
Speaking of January and Mwamvita, couldn't they tell their dad kwamba his time is up. To me is an embarrassment to have a bigmouth dad like Yusuph taking into account that his kids are also public figures.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom