Kweli Mama-Mbega huponzwa na uzuri wake

Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia. Nahisi huyu mama sasa hathaminiki kama "taulo la gesti" licha ya kuwa presha ilipanda na kushuka mara baada ya kukubali kipigo. Au labda ni mapema huenda mkulu akamuona na kumshushia u-DC ama u-RC wa mji kasoro bahari. Kazi ipo

Tittle na content haviendani kabisa!
 
Bi.Monica+Mbega+mgombea+ubunge+(CCM)+jimbo+la+Iringa+mjini.JPG
 
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia. Nahisi huyu mama sasa hathaminiki kama "taulo la gesti" licha ya kuwa presha ilipanda na kushuka mara baada ya kukubali kipigo. Au labda ni mapema huenda mkulu akamuona na kumshushia u-DC ama u-RC wa mji kasoro bahari. Kazi ipo

kwa jinsi thithiem inavyo-operate walioshindwa ubunge wote wanakuwa ma-candidate wa uDC, uRC, uenyekiti wa bodi mbalimbali, ukurugenzi wa mashirika mbalimbali, n.k. hiyo ndiyo style ya mafithadi.
 
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia. Nahisi huyu mama sasa hathaminiki kama "taulo la gesti" licha ya kuwa presha ilipanda na kushuka mara baada ya kukubali kipigo. Au labda ni mapema huenda mkulu akamuona na kumshushia u-DC ama u-RC wa mji kasoro bahari. Kazi ipo

PLEASE NAMUOMBA MOD HAIMISHIE HII THREAD KUNAKOSTAHILI, MIMI BINAFSI HUWA SIFUNGUAGI KUSOMA THREAD ZA UDAKU, SASA HAPA MNATUJAZIA UKURASA BURE. JF INA PLATFORM NYINGI YA KUZITENGANISHA THREAD, WALE WAPENDA UDAKU NA MAMBO YA MZAHAMZAHA WANAIJUWA PLATFORM YAO, LAKINI SISI AMBAO TUKO SERIOUS MUDA WOTE TUNAOMBA UPANDE HUU ZILETWE THREAD MAKINI TU. SITEGEMEI UPANDE HUU KUKUTA THREAD, INAULIZA ETI KWA NINI WANAWAKE WANAOTA NDEVU!? PLS LETENI HOJA NA SIO VIROJA.:nono:
 
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia. Nahisi huyu mama sasa hathaminiki kama "taulo la gesti" licha ya kuwa presha ilipanda na kushuka mara baada ya kukubali kipigo. Au labda ni mapema huenda mkulu akamuona na kumshushia u-DC ama u-RC wa mji kasoro bahari. Kazi ipo
How.............???!!!!
 
Lakini mshikaji pamoja na yote uzuri au ubaya una kuhusu nini? Acha ujinga jadili mambo msingi kwa maendeleo ya inji hii.
 
Baada ya kugaragazwa na Mchungaji pale Iringa mjini, nilitarajia Sisiem walipe fadhila kwa huyu mama angalau kwa kumpa kale ka-ubunge ka viti maalum kama walivyopewa akina mama wa Demokrasia. Nahisi huyu mama sasa hathaminiki kama "taulo la gesti" licha ya kuwa presha ilipanda na kushuka mara baada ya kukubali kipigo. Au labda ni mapema huenda mkulu akamuona na kumshushia u-DC ama u-RC wa mji kasoro bahari. Kazi ipo
hii post ingekuwa ni hard material ilipaswa ipelekwe kwenye septic tank
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom