wewe...Starlet haitoki hivi hivi...lazima aitumikie na atumike haswa!! Hivi kuna magari yana rangi ya zambarau?Afu nimegundua kitu
Watuwanapenda kusikia mazuri tu
Sijui mabaya yanatendwa na nani
Si ndo watu kama sie/
Mi namsapoti sile awachange kabisa
Ili mnunue hata stalet ya zambarau
AD wee bado mdogo
endelea ivo ivo
Ila wakubwa hatuogopi
Wao ni watu na sie ni watu
Penye watu haliharibiki jambo
Ningeomba kabisa usiniambie mimi
mdogo na huju chochote kuhusu mimi..
Duh kweli kuishiwa kubaya.kwa sasa haina nafasi kiukweli
x-amenipa hela ya kununua moka
y- nauli ya kwenda bush
z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja
w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua haya na offer ya ndege ipo
p-hela ya saluni
0-hela ya nguo na viatu
t-hela tu ya kula sikukuu
c-hela ya wazazi
a-blackbery
b-ngoja nimfate hii ni ya misclenous expenses
yaani nisipofungwa mwaka huu basi na bado wanaendelea
mbarikiwe wanaume wote duniani
ray:ray:Atakuwa jukwaa la dini, ngoja nkamlete.
Usikatae AD,
"UKUBWA" unazidiana.
ray:ray:

vitz na mamvua haya itapita wapi mkuu ?
poa ukilipata nishtue
Ningeomba kabisa usiniambie mimi
mdogo na huju chochote kuhusu mimi..