Kweli kupanga uzazi hakuna madhara?

Dr.Toy

Member
Jul 30, 2012
43
7
Naamini kupanga uzazi kuna madhara but madoctors hamtaki kutuambia ukweli. Plz nisithibitishieni doctors kuhusu hili.
 
mzee kwa usawa huu wa kusubiri mafao hadi 55 nakusahuri upange uzazi.
 
Cjapinga na ni vyema kuwa na planned family, but kutumia dawa wanazotoa ni sahihi kwa afya zetu in long-run?
 
Cjapinga na ni vyema kuwa na planned family, but kutumia dawa wanazotoa ni sahihi kwa afya zetu in long-run?

kila aina ya njia ya uzazi wa mpango ina madhara yake inatemea na mtumiaje maana side effect atakayopata A si sawa na atakayopata B japo wengine huwa wanapata baada ya muda mrefu sana wa matumizi.

njia salama zaidi ni ya asli tu.
 
Ya asili ni kama ipi my dia?
 
you pipo achaneni na hayo madawa yana madhara kwa sana tu. jiwekeeni discpline ya ku do bwana.
 
Back
Top Bottom