kweli kuna watoto wameumbika!!

anyway ni demu wa kawaida sana na wala sio wa kuweka humu bwana kwa mbembwe hata huku Ungal Ltd na Ngarero wapo tena wengi sana
 
Pamoja na kuumbika huko, hakuna kitu kipya ambacho anaweza akatofautiana na mabinti wengine.Usione nyumba imepakwa rangi nzuri ukadhani ndani kuna rangi hiyo-ingia uone mwenyewe.Kwani makaburi yanapaopakwa rangi,ndani nako kunapakwa???????????????/
 
Daaaa mtoto colored,bambadi kajazia mgongo bambataa hajakubwa taarabu anayo ukicheck nyoro inakuita chuchuchu tototooooo ajigijigijiiiiiii nashindwa hata hela ya kumnunulia big G,usoni no pimples,chotara mng'avung'avu maji ya kunde kaenda hewani sekunde kwao obay osyterbay masaki binti huyo mtanashati.

King Kong mbona unasifia "kiukware"? Itoshe kuusifia uumbaji wa Mungu kwa maneno machache! Sasa unamvua mpaka na kivazi chake! Mweee!
 
Back
Top Bottom