Kweli Kitambi Noma

acha ujinga toka lini kitambi kikatongozewa may be ww ndo zko

asante sana, je ujinga wangu hutolewa kwa elimu ipi?
Mwenzangu naona hujakaa Uswahilini, ukiwa na kitambi uswahilini ni security, unakopea, unatongozea, unapendezea na kufanyia a lot of mbwembwe
 
Haswaaaa
 
Kitambi ni dalili ya kubana matumizi ya fenicha, unaweza kukitumia kama meza...!

Nani anabisha!?

beer-belly.jpg
 
Back
Top Bottom