kweli kidhungu kimekuja na mashua

Negrodemus

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
2,316
677
ukitaka kujua EAC kuwa wabongo tutapata shida sikiliza vidhungu leo Bungeni jamani mi nasema tukianza kuomba kura kwa vidhungu nahisi matusi na mbembwe zitaisha kwa wagombea haki ya Mungu madamu spika anajikanyaga balaa nae mwalimu wa mdhumbe nae ka mwanafunzi anapresent anasema mr spika mwe mwe kweli kidhungu kilikuja na meli na majahazi
 
toka mtoto nasikia hili suala nahisi mpaka ntakufa itakuwa hivi hivi.

mkuu kuna nchi ambazo zinaendeleza lugha zao za asili na kudumisha utamaduni wao,halafu wanaonekana wamepiga hatua na kutambulika kimataifa kwa kuonyesha utamaduni wao,ila hapa kwetu kutumia kingereza inaonekana kama ndo maendeleo
 
halipo na haliwezekani hili ni sawa na serikali kuhamia dom mpaka ccm ikifa ndio vitu vyaweza kubadirika.
 
kama madokta wanaongea hivi hii inareflect kuwa product yao si nzuri tukienda huko ni aibu sema mi umri umeenda nahisi ntakuwa nimefariki ntaikwepa hii aibu.
 
"yees can u reply the question pliiiz" hivi tuna reply question ama we answer the question??? duuh hawa ndio wagombea wetu wa EALA. kwa mtindo huu wengi wataishia kwenda kukaa kimya tu huko bungeni maana lugha haipandi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom