Kweli Kazi ya Mungu Haina Makosa

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
Hii familia nzima ni walemavu wa ngozi..........

article-2111298-120DAD79000005DC-35_634x642.jpg


A white-skinned Indian couple are set to enter the record books along with their offspring, after becoming the world's biggest albino family.


The ten members of the Pullan family, headed by Rosetauri, 50, and his wife Mani, 45, all have the extremely pale skin and near-white hair of albinos.


But despite years of prejudice and suffering the poor vision which is a side effect of the condition, the Pullans and their eight other family members are set to land a Guinness World Record.
 
article-2111298-120DAD55000005DC-509_634x424.jpg


Happy family: The Pullans, who are all albino, live in a small one-bedroom flat in Delhi

article-2111298-120DAED3000005DC-165_306x423.jpg
 
bora wapo majuu lasivyo wangekuwa hapa bongo wangepigwa beiiiiiii zamani
 
Afadhali walizaliwa hukohuko watakaa salama, kwa huku bongo wangekuwa hatarini kwa imani za kijinga za wanafiki!
 
Naomba kuuliza, hivi hawa wanaongia katika world records za Guiness huwa wanalipwa au ndo wanapigishwa picha tu na taarifa kutolewa halafu basi? Guiness inafanya chochote kuwasaidia kwa mfano walemavu kama hawa au yule mtu mfupi kabisa duniani, etc?
 
naomba kuuliza, hivi hawa wanaongia katika world records za guiness huwa wanalipwa au ndo wanapigishwa picha tu na taarifa kutolewa halafu basi? Guiness inafanya chochote kuwasaidia kwa mfano walemavu kama hawa au yule mtu mfupi kabisa duniani, etc?
cheki website yao mkuu utapata yote maelezo.
 
Back
Top Bottom