Kweli Jk ni vunjavunja tusubirie kuvunjwa zaidi??

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Imenibidi nijiulize hili swali coz alianza kwa kuivunja serikali yake baada ya kugubikwa na rushwa pamoja na ufisadi sasa amevunja secretary ya CCM aliyokua akiiongoza yeye na msema hovyo makamba lakini bado anaona haitoshi sasa anataka kuuvunja muungano na pia kuwa vunja vunja watanzania kwa misingi ya UDINI.kweli JK nivunjavunja. Michamgo tafathali.
 
WEWE NI MUUNGUJA NINI? Coz nyie ndo hamtaki kuusikia kabisa huu muungano.
 
Back
Top Bottom