kweli hizi ni nyakati za mwisho za ccm

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
kama wabunge wa ccm wenyewe wanakiri wazi kuwa 2015 uwezekano wa kushinda ni mdogo.kwa nini? Sisi wapiga kura hatutaki kuamini ukweli huu,wabunge wanaogopa kupiga kura ya kukosa imani na serikali kwa kuhofia ulaji wao,sasa kazi tunayo sisi wapiga kura 2015.tusifanye makosa tena
 
kaka mambo yamekuwa magumu, tabu ni kwamba baadhi ya wazee pamoja na vijana wasiopenda kujishughulisha ndio wana mawazo mgando, mabadiliko yako njiani ila kinachoniuma ni gharama zitakazotumika hivi karibuni kutokana na baadhi ya madiwani kuhama vyama.
 
kama wabunge wa ccm wenyewe wanakiri wazi kuwa 2015 uwezekano wa kushinda ni mdogo.kwa nini? Sisi wapiga kura hatutaki kuamini ukweli huu,wabunge wanaogopa kupiga kura ya kukosa imani na serikali kwa kuhofia ulaji wao,sasa kazi tunayo sisi wapiga kura 2015.tusifanye makosa tena

Funguka mzee wa NCCR
 
Hure hure............nyumba ya magamba imeshashika moto........acha iangamizwe kabisa
 
Back
Top Bottom