Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
Acha ujinga wewe kijana, ana mtu wake mwache afurahie maisha yao. wake wako wengi na unaweza pata wako asiye na mtu. Kama unataka kumwachisha kwa mtu wake uwe tayari maana kile umtendeacho mwenzio kitakuja vile vile na kwa style ile ile. Ebu weka akili yako sawa, muombe Mungu akupe nguvu na ushauri.