Kweli dunia kizungumkuti!

Azikiwe

Senior Member
Nov 13, 2009
190
19
39417_169144496456790_100000837214413_310148_5284281_s.jpg
 
kweli dunia kizungumkuti, lakini uzuri ni kwamba wote tukifa tunaoza... hakuna ujanja hapo uwe fisadi, kapuku au whatever
 
thats the point man

lakini kabla ya kufa cha moto tutakiona baabaake
 
Hint kidogo Mr..

ngoma si zinajeleza hizo, juu kabisakulia ni mkulima nakushoto ni yule anayetumia janja yakujiita mtoto wa mkulima ili kuraisisha kampeni za urais 2015. Na chini kabisa mzee anamwambia R.A kuwakitaeleweka tu hata kama wamemchakachua uspika.
 
Nimeelewa Mr..ila nilitaka kupata mtizamo tofauti so far imekaa km katuni ya bwana kingo ambayo kila mtu hakosi tafsiri yake..damn tuna miaka 500 kumpata mkulima wakweli..R.I.P Babu!
 
Shosti najua hili sio jukwaa letu lakini inabidi nikuulize eti na ujanja wako wote ulivalishwa shanga kwenye ile safari ?

ha ha.....umenifanya nicheke sana.....ilibidi maana tulifika mahali ambapo there was no point of return....mwee ilikuwa shughuli....mbona hukuja?
 
Mwaka huu ilikuwa zamu yangu kuwakaribisha ndugu sikukuu ya x-mas sikuweza kuwa mbali na home.
 
ohoooo........basi tunajiandaa kwenda kupanda mlima kilimanjaro......naomba uanze kwenda gym kwa ajili ya pumzi.....sitisha ulaji wa chips zege mara moja
 
Hahaha! hapo utanisamehe shoga nitawachelewesha bure mkinisubiri nipumzike kila mara.
 
ALAFU WANASEMA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, HEBU CHETI HIZO TOFAUTI HAPO :teeth:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom