Kweli CHADEMA wanapendwa hivi au Macho yangu!?

wakati sisi tunaenda vikaoni ili tupewe posho,cdm wananchi ndio wanakipa chama.HATUJIULIZI CCM WANATOA WAPI PESA?UFISAD
 
Si CHADEMA inayopendwa. Ni Tanzania. CHADEMA imeonesha inaiwakilisha Tanzania na Watanzania. CCM wanamwakilisha nani?
 
Imetokea jana kwenye Dala dala la Kutoka Airport kwenda Buhongwa (MWANZA), Kama kawaida ya konda ndani ya dala dala anadai chake (Nauli), kabla hajamaliza kudai nauli gali likakata mafuata kiaina (likawa linazimika zimika), ikabidi dereva aingie sheli kuongeza mafuta.

Hatujajua kinachoendelea akainuka mama mmoja kwa asila na kumkoromea konda na dereva, akisema: Mambo ya kutembea na Mafuta ya vidumu mnatuchelewesha kwenye vikao na ntaenda kupigwa faini kwa kuchelewa Tsh. 5,000/=: Mara jirani yake akadakia, Kikao cha nini? Mama akajibu: Kikao cha chama, kwa mshangao wa wengi, kila mmoja alidhani labda kikao cha wakinamama au SACCOS: Mama akadakia tena: Kwenye kikao cha chama cha CHADEMA!

Nkiwa bado nashangaa abiria wote wakadakia: Kama ni kikao cha CHADEMA, tutakuchangia iyo faini, nilidhani kama utani! Kwanza yule konda akamwambia yule mama: wewe ni mjanja, akamrudishaia nauli yake, nkiwa naendelea kushangaa, konda akaanza kukusanya michango kwa ajili ya yule mama. Amini usiamini alichangiwa Tsh. 32,500/=. Chakushangaza zaidi hata watoto wa shule walimchangia yule mama.Nilibaki kushangaa mwanzo mwisho!

Naanza kuisi mabadiliko, kweli hapa Mwanza si mchezo.

Ni mimi nisiyekuwa mwanachama wa chama chochote kwa sasa.

Mkuu alichangiwa ili achukue taxi akawahi kikao au alichangiwa ili achelewe akalipe faini?

Ta Kamugisha bwana wakora kwa kweri.
 
akalipe faini, si tulichelewa pale sheli, na gari lenyewe mpaka lisukumwe! Unajua nilishangaa sana, nilikuwa natoa macho tu, ila kiukweli sikuchangia, maana nilkuwa nashangaa hata wanafunzi! Kwenye gari zima hapakuwemo mwanachama mwingine zaidi ya chadema. Mpaka nimejiuliza au airport yote imejaa CHADEMA tu!
 
Imetokea jana kwenye Dala dala la Kutoka Airport kwenda Buhongwa (MWANZA), Kama kawaida ya konda ndani ya dala dala anadai chake (Nauli), kabla hajamaliza kudai nauli gali likakata mafuata kiaina (likawa linazimika zimika), ikabidi dereva aingie sheli kuongeza mafuta.

Hatujajua kinachoendelea akainuka mama mmoja kwa asila na kumkoromea konda na dereva, akisema: Mambo ya kutembea na Mafuta ya vidumu mnatuchelewesha kwenye vikao na ntaenda kupigwa faini kwa kuchelewa Tsh. 5,000/=: Mara jirani yake akadakia, Kikao cha nini? Mama akajibu: Kikao cha chama, kwa mshangao wa wengi, kila mmoja alidhani labda kikao cha wakinamama au SACCOS: Mama akadakia tena: Kwenye kikao cha chama cha CHADEMA!

Nkiwa bado nashangaa abiria wote wakadakia: Kama ni kikao cha CHADEMA, tutakuchangia iyo faini, nilidhani kama utani! Kwanza yule konda akamwambia yule mama: wewe ni mjanja, akamrudishaia nauli yake, nkiwa naendelea kushangaa, konda akaanza kukusanya michango kwa ajili ya yule mama. Amini usiamini alichangiwa Tsh. 32,500/=. Chakushangaza zaidi hata watoto wa shule walimchangia yule mama.Nilibaki kushangaa mwanzo mwisho!

Naanza kuisi mabadiliko, kweli hapa Mwanza si mchezo.

Ni mimi nisiyekuwa mwanachama wa chama chochote kwa sasa.
Mkulu Ta Kamugisha unaona sasa CHADEMA imeshika kasi, hii ndiyo njia ya kutuvusha kuepukana na hawa majambazi wa CCM!!!! Tuombe kusitokee mabadiliko katika sera za CHAMA kuvuruga malengo ya ukombozi wa wanyonge wa Tanzania!!!!! VIVA CHADEMA UKOMBOZI HOYEEEEEE!!!!

Wana ccm nynyi semeni ivi, WATANGANYIKA WALITOA NA SSA WATANGANYIKA WANATWAA MAAMUZI YAO YAHESHIMIWE, amen.
 
Dalili ya mvua ni mawingu...wananchi wamechoka kudanganywa...nyeusi tiii wanaambiwa nyeupe pee
 
Mkulu Ta Kamugisha unaona sasa CHADEMA imeshika kasi, hii ndiyo njia ya kutuvusha kuepukana na hawa majambazi wa CCM!!!! Tuombe kusitokee mabadiliko katika sera za CHAMA kuvuruga malengo ya ukombozi wa wanyonge wa Tanzania!!!!! VIVA CHADEMA UKOMBOZI HOYEEEEEE!!!!

Nimeona ila mnaitaji nguvu za ziada kunishawishi! Maana nimeshaumwa na Nyoka, jani hata na Mjusi kwa sasa naviogopa
 
Inafurahisha sana kwa hamasa kama hizo basi ziwe kwa Tz nzima sasa
 
Back
Top Bottom