Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,299
- 3,055
Oh! Kumbe ilikuwa ni katika kujisalimisha kabla ya maandamano hiyo kesho. Gold in weight, Chadema.
Wabunge wa CCM kama MAJOKA YANASUBIRI KUZAA[/QUO
Hayo majoka yanayosubiri kuzaa ndo yakoje mfalme?.............. nimeipenda hii bila kujua maana I blv nikujua maana nitaipenda zaidi...............
kikwete ana akili ya kupromote wanawake tu.kwani JK hawezi kumuita ikulu DR kwa ajili ya kuomba ushauri! HIII NI KWA NCHI YETU WAKUU. AU NDO YALE KUOMBA USHAURI PIA NI AKILI!
wana payuka payuka, sipati picha chadema wangekuwa wengi bungeni, wangekiona cha mtema kuni hawa ccm
Mtu akikuuzia sub-standard products anapongezwa? Nilitegemea wangemshauri Mh. Kikwete ambadishe Waziri aliyeleta Mswada huu ambao umeidhalilisha Serikali yake mbele ya umma wa wananchi na si kupongeza.
Jamani t doz nt need multitude to lead da country,jst a small group of dedicated people z enough...chadema alone is enough to lead our nation to a better place....god bless chadema god bless tanzania..