Kweli ccm mazumbukuku hawaelewi kitu

kilolambwani

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
395
75
Nawashangaa hawa uvccm wanaotaka kuandamana kuunga mkono hotuba ya rais. Kwani rais aliongea lipi la maana. Ina maana hawa ccm wanaishi maisha mazuri, hawana maisha magumu kama wananchi wengine? Kwanini wanashabikia uozo wa serikali hii?
 
Zumbukuku mwenyewe. Hakuna la maana aliloongea!!!! Wewe na hao wazururaji wanaopita kila mkoa kupiga kelele akili yenu moja. Kama kweli wana akili timamu wangemuiga Mzee wa Kiraracha anayepiga mzigo kweli kweli katika Halmashauri za Wilaya hadi kuwapeleka mahakamani. Lakini kuzunguka mitaani na kutafuta watu wa kuunga mkono ufinyu wa siasa halafu unaita ndiyo nguvu ya umma ndiyo UZUMBUKUKU halisi, upo???
 
Mkuu punguza jazba, hoja hujibiwa kwa hoja! Au kwenu wote KAMBALE??
 
ukiwa ccm lazima ujifanye kilaza ili upate mkate wako, hata wao wanajua rais wao hakuongea ambacho wananchi walitaka majibu na ufafanuzi, ilikuwa ni kulia lia juu ya maandamano na hoja cha CHADEMA, anyway waacheni wampongeze.
 
birds of the same feather flock together Wote akili Zero namatatizo yote bado ujinga upo
 
Back
Top Bottom