Nadhani ni zamu yetu sie waTanzania tumtoe huyu spika madarakani, na kama hatutafanya hivyo basi tukae kimya na tusilalamike kabisa.:yawn:.
Kuna hoja tundu lisu ametoa kuwa suala la usimamizi wa mahakama lisimamiwe na bodi maalum na siyo kisiasa. Limeleta mvutano na kusababisha kupiga kura kwa kusema ndiyo au hapana. Imeonekana kama wamegongana na hivyo kuanza kutaja jina mojamoja ikiambatana na jibu la ndiyo au hapana.
Inasikitisha kwamba baadhi ya wabunge akiulizwa anajibu ndiyo kisha hapana. Kwa kweli utoto umezidi sana mjengoni. Yaani inaonyesha waziwazi makinda anafurahia wale wanaopingana na hoja ya tundu lisu. Hata mizengo alianza kwa kusema ndiyo, kisha akasema siyo na alipoulizwa mara ya tatu akasema ndiyo.
Kweli inauzi saaana.
Chenge sio kichwa ni mchawi tu huyo ameshawahi kunyunyiza uchawi bungeni wewe unamuona kichwa, nitajie faida tuliyopata kutokana na chenge kuwa mwanasheria mkuu wa serikali kwa miaka kumi.pia kile anachokipendekeza lisu hakiwezekani kwa wateuzi wa hao maadministrators wa mahakama huwa wanapendekezwa na hiyo tume kwa hiyo haiingii akili kwa wao kujiaprove wenyewe-by chenge
anadai eti court administrator awe mwansheria, lakini watu wa Political Science and Public Administration (PSPA) hawanavigezo, lakini kiukweli wanasheria hawako deep kwenye mambo ya utawala kama watu wa PSPA kwahiyo hoja yake haina nguvu-by werema
Tundu think twice, unajua hpo bungeni kuna vyichwa si utani, mfano chenge (havard university product) ni kicha ile mbaya japokuwa ni jizi kubwa aka fisadi.