Kweli bora Hussein Machozi urudi jela.......

marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,635
3,655
Kipande cha sabuni shilingi 950
Kilo ya unga sh.................
Kilo ya sukari ......................
Mfuko wa cement sh................
 
jela jela bora nirudi jera,kama mke wangu nae kamilikiwa na kigogo duu,bora nirudi jera,nimeshindwa bora nirudi
 
Vijana wanaingia kwenye wimbi la ukombozi bila Kujitambua.

Wa kwanza ulikuwa Rizwani kamwambie baba, Lilikuwa dongo la kutosha kwa JK kuhusu uhalisia wa maisha ya mtanzania wa kawaida.

Ukaja wimbo mwingine kichwa kinauma kusisitiza Hali Ngumu ya mtanzania

Sasa wanataka kurudishwa jela

Baada ya hapa nadhani wataimba Jamani si tuwe kama Boaziz.

Moto wa ukombozi hakika wachukua sura mpya.
 
Baba R1 asikilizishwe hii kitu ili kama vp waongeze magereza maana watu wamesha choka
 
Back
Top Bottom