Kweli binadamu ni maua!

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,533
196
Namkumbuka this lady enzi za uhai, alikuwa mpiganaji wa haki za vijana na mwenye moyo wa kujitolea pale alipoweza. Mwenzetu katangulia mbele ya haki tumuenzi kwa kuendeleza aliyoyaanzisha.
Wabunge vijana igeni ujasiri wa Amina, ikibidi kuhatarisha maisha yenu kwa maslahi ya wengi waliowachagua.

RIP Amina Chifupa, ur still on our minds.

You are very right Leonardo! you remind me of Dr Remmy Ongala....in this song.....
"Wandugu wapenzi....huu wimbo ni wimbo wa kifo.... wa siku ya kufa na siku ya kuzaliwa.....ulitoka kwa udongo na utarudi kwa udongo......"
 
Namkumbuka this lady enzi za uhai, alikuwa mpiganaji wa haki za vijana na mwenye moyo wa kujitolea pale alipoweza. Mwenzetu katangulia mbele ya haki tumuenzi kwa kuendeleza aliyoyaanzisha.
Wabunge vijana igeni ujasiri wa Amina, ikibidi kuhatarisha maisha yenu kwa maslahi ya wengi waliowachagua.

RIP Amina Chifupa, ur still on our minds.

Alipigania haki zipi au ndio zile zile sifa wanazopewa marehemu! huko kupiga mkwara wa kutaja wauza unga halafu akaa kimya? Ulikuwa ni usanii tupu. Binafsi naona sifa anazopewa ni zaidi ya uhalisia (anyway, ni mtazamo tu).
 
Mwenye picha zaidi atuwekee hapa alikuwa mbunge kijana na mrembo aliyetingisha vigogo kwa urembo
 
Mwenye picha zaidi atuwekee hapa alikuwa mbunge kijana na mrembo aliyetingisha vigogo kwa urembo

sasa mbona wakamwondoa duniani mypema sana akiwa only 26 yrs?? au aligusa pasipofaa maskini mrembo wetu. Siamini she now Fossils.
 
Alikuwa mbunge mjingamjinga hv nyamayao maskini ya Mungu!

Pamoja na kuwa sijaona mchango wake wowote wa kupigiwa mfano, lakini R.I.P
 
sasa mbona wakamwondoa duniani mypema sana akiwa only 26 yrs?? au aligusa pasipofaa maskini mrembo wetu. Siamini she now Fossils.

Hivi kweli katika watu waliokuwa tishio huyo naye ni mmoja wapo? sijawahi na sitakaa niamini kwamba Aminina aliuwawa, ni maradhi tu yalimuondoa, na marehemu mumewe nae alikuwa mpigania haki wakamuondoa? Sidhani, kwa dalili alizoondoka nazo bado mnajidanganya Amina aliuwawa.

Anyway, sikuwahi kumchukia amina lakini penye ukweli tuseme, kuna mashujaa wengi wa ukweli wenye kustahili hizo sifa kuliko yeye.
 
alifanya alichoweza ...ni bora kutoa shukurani kuliko malalamiko kwani hata ukilala mika sasa haita saidia kitu...R.I.P AMINA
 
alifanya yale aliyoweza kwa uwezo wake na kwa muda Mungu aliompa wa hapa duniani RIP dada yetu
 
Alikuwa ni mmoja wa wabunge vijana waliofungua macho vijana kuwa kwenda mjengoni ukiwa kijana inawezekana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom