Kwel polisi wamelogwa hili nalo ni gar lilikua linalinda msafara wa rais unaopita v8

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
220
41
Hao ndo jesh la polis hajielew
 
Attachments

  • Photo0288E001E001E001.jpg
    Photo0288E001E001E001.jpg
    11.5 KB · Views: 306
Msafara wa Kikwete unapopita hata na wakuu wa Vituo Vya Polisi (OCS), OCD, e.t.c wa eneo husika huwa wapo ndani ya kumi na nane ya msafara huo...!!!
 
Aibu tupu miaka 50 ya uhuru polisi inatembelea gari lilojaa kutu
 
Msafara wa Kikwete unapopita hata na wakuu wa Vituo Vya Polisi (OCS), OCD, e.t.c wa eneo husika huwa wapo ndani ya kumi na nane ya msafara huo...!!!

Makao makuu ya nbc sokoine drive hapo sa hch kigar kmetoka wap o makumbusho ya taifa
 
Hii gari nishawahi kuiona maeneo ya round about jitegemee daaa kiukweli imechoka kinomaaaaaa!
 
Gari la namna hilo linaweza kusababisha ajali katika msafara wa rais, kiukweli halina sifa.
 
he he he he sasa kwani kunatatizo gani askari kutumia hiyo gari kama wanaishi kwenye nyumba zinazofanana na vibanda vya choo??
 
he he he he sasa kwani kunatatizo gani askari kutumia hiyo gari kama wanaishi kwenye nyumba zinazofanana na vibanda vya choo??

Kwa hiyo hilo gari linafanana na mazingira wanayoishi?
 
Hiyo gari kitega uchumi cha mtu, hapo inapata mgao wa mafuta full,dokezo la vipuri nk watu wanatia mfukoni!
 
Back
Top Bottom