Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

Pole sana!!. Hiyo ni sawa na kujikwaa halafu unadondoka, haina maana kuwa ndio uwe mwisho wa safari yako dada angu. Unachotakiwa kufanya ni kusimama tena na kuendelea na safari yako kwa kuwa mwangalifu zaidi ikiwezekana badili njia na ufuate ile ambayo haina mawe ya kukufanya ujikwae tena. Tafuta kidume kingine dada.
 
pole mamie, mshukuru Mungu kwa kila jambo. songa mbele,huenda kuna kitu umeepushiwa.amini usiamini muda c mrefu utajua ni kwann ilitokea hvo.me mwnywe ishantokea nliachwa na mkaka akaoa mdada mwngne ingawa hakuwa rafk yangu.bas saiv hyo mdada analalamika mumeme mlev,muhuni na hamjali. huyo hakuumbwa kwa ajil yako mdada wako yupo.piga moyo konde japo inauma!
Sasa hapa Charming girl ndio unataka kusemaje?? Kuwa angekuoa wewe asingekuwa mlevi au?
 
:A S-baby:pole ndugu,a
nza upya ndio mchakato wenyewe huo.niafadhali kwako yametokea kabla hamjaoana,fikiria kama ingekua baada ya marriage?
 
a pole ndugu haya mambo hutokea sana. mshukuru mungu yametokea kabla ya kuoana:A S cry:
 
nilikuwa na rafiki yangu tuliependana sana...alikuwa ni kama ndugu yangu..ghafla alinibadilikia na kuanza kunidharau na hata kunituc..cku ya jana niliamua kumuuliza sababu ya mabadiliko yake hayo,alichonijibu nusura nizirai..alisema kuwa niachane na mchumba angu coz yeye ndo anammiliki na wanapendana sana so huwa anachukia ninapokuwa nae ndo maana huwa ananitukana..nilipomtafuta mchumba angu akawa ananikatia cm,nikamtumia text zaid ya tano but hajajibu hata moja...so niko njia panda naombeni mnisaidie....thanx..

uwiiiiiiiiiiiiiii hivi haya mambo kumbe ni kweli yanatokeaga! Jamani pole sana, nways usimpe mwanya if at ol u luv him, fight for your man, mpaka arudi kwenye line!
 
Du Lazima uwe mwanadada coz naona umemwachia kirahisi sana huyo mwiz wako! Yan hata kofi la kumwotea tu jamani? Basi inabidi ujirekebishe sasa, timiza majukumu yako vizuri ili asikukimbie tena huyo atakae kuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom