safi! enzi za mchakamchaka wa asubuhi shule za primary zirudishwe haraka sana
Inawezekana mazee.Wamependeza sana! Na huko waendako kuna JKT inawangoja.
Ni shule gani hii Mkuu? St. RizOne?.. au!
Siku hizi watoto goigoi kabisa.safi! enzi za mchakamchaka wa asubuhi shule za primary zirudishwe haraka sana
Heshimaaa...kulia!!!!
<br />safi! enzi za mchakamchaka wa asubuhi shule za primary zirudishwe haraka sana