Kwann wanaume wengi huwa hivi?

samanya

Member
Feb 1, 2011
48
6
Habari zenu wanaJf.
Naomba mnisaidie,hivi kwanini asillimia kubwa ya wanaume kwenye mahusiano ya kimapenzi wanapenda kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?
 
ni kweli uyasemayo.ila wako wanawake wengine nao wana zaidi ya mwanamme mmoja.kuna special wa vocha,na kuna mtu mzima pedeshee.huyo special wa kulipia kodi ya nyumba.na kuna mwengine wa kujionyesha kwa watu.ila kwa kweli huo mtindo sio mzuri.kwa mwanamke au mwanaume.kama mwanaume umemchoka uliekuwa achia ngazi uwe na wako mmoja.na mwanamke jitume kwa bidii usiishi kwa kutegemea mabwana
 
kisukari umesharudi toka loliondo au?
 
kwa sababu product tunayotafuta inapatikana sehemu nyingi! Kwa hiyo ni lazima tukajaribu na hizo sehemu nyingine!!
 
My dear hilo swali ni ngumu sana
Mie na dhani ni urithi
toka enzi hizo za mababu zetu
tofauti ni kwamba enzi zile walikuwa
wako wazi na hakuna magonjwa

Na dhani wanajaribu magari kabla hawakununua..
tatizo ni kwamba yakoo za aina nyingi
na wanataka kujaribu za aina mbali mbali..
Wengine ni tamaa tu..
Sababu tayari wanayo
 
heheheheh afrodenzi....eti umewaitaje...magari???
My dear hilo swali ni ngumu sana
Mie na dhani ni urithi
toka enzi hizo za mababu zetu
tofauti ni kwamba enzi zile walikuwa
wako wazi na hakuna magonjwa

Na dhani wanajaribu magari kabla hawakununua..
tatizo ni kwamba yakoo za aina nyingi
na wanataka kujaribu za aina mbali mbali..
Wengine ni tamaa tu..
Sababu tayari wanayo
 
Habari zenu wanaJf.
Naomba mnisaidie,hivi kwanini asillimia kubwa ya wanaume kwenye mahusiano ya kimapenzi wanapenda kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?

Umejaribu kuyauliza majogoo hapo mtaani kwenu?

Hakuna anayeweza kupingana na kitu nature!
 
Mmezidi kuwasema wanaume na wanawake wanakuwa na mwanamme mmoja kabla ya ndoa?/

Gender balance aisee acheni kuwaonea wanaume kila siku ha ha ha ha
 
Kwanini niwe na mwanamke mmoja?? Ukiona waliokaa na mmoja wanaogopa ukimwi. Hata hivyo, hatunao wengi ila huwa tunaonja tu hatusahau HOME hata siku moja. Hiyo mwaionaje????
 
Kwanini niwe na mwanamke mmoja?? Ukiona waliokaa na mmoja wanaogopa ukimwi. Hata hivyo, hatunao wengi ila huwa tunaonja tu hatusahau HOME hata siku moja. Hiyo mwaionaje????

Kumbuka Ukimwi hauletwi na kuwa na wamawake wengi, bali kuwa na wanawake wa nje ya ndoa - kuna dini zinazoruhusu wake zaidi ya mmoja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom