kwann wachaga wanapenda kuishi kimara.

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
wanajamvi nipeni majibu kwa nn wachaga,wapare na baadh ya makabila ya pande za kaskazini wanapenda sna kuishi maeneo ya kimara hadi mbez..
 
Kwani nyie huwa hamjiulizagi ni kwanini asilimia kubwa ya Masharobaro wazamiaji wa mambele a.k.a Majuu wanaishi Kimara?
Fanya Utafiti kisha nisalimieni Jonasi Kiwia popote Alipo.
 
Hapa kuna kaukweli,kila msichana wa Kimara niliyewahi kumtongoza aliitwa Manka,Aimbora,Kyekue,Mashamsham, Sia, mpaka nikasema duh ina maana wamejaa wao tu huku
 
sasa kama kwenu moshi ukakae kivule au tua ngoma si balaa hilo... mjii huu usiokuwa na wenyewe lazima ukae usawa wa mlango wa kwenda mkoani kwenu kikilipuka tu..... mbiooooooooooo
sababu ingine kimara imekaa vizuri kwa kufugia Noah....
 
sasa kama kwenu moshi ukakae kivule au tua ngoma si balaa hilo... mjii huu usiokuwa na wenyewe lazima ukae usawa wa mlango wa kwenda mkoani kwenu kikilipuka tu..... mbiooooooooooo
sababu ingine kimara imekaa vizuri kwa kufugia Noah....

kweli akabisa,kimara inafaa sana kufugia Noah. hata ukitaka noah ya ukweli nenda kimara au mbezi
 
Napatia lift hapahapa nami ya kuuliza kwanini warangi huishia Ngarenaro tu hapa Arusha?
 
Miaka fulani ya nyuma, Wachagga wengi maeneo yao ya kujidai yalikuwa kuanzia Ubungo Kibo, Rombo, Kona...Kimara Baruti hadi Resort, lakini ikaja kupita bomoabomoa moja kubwa sana wakati wa upanuzi na utengezaji wa barabara ya Morogoro. Maskini ya Mungu Wachagga wengi walikutwa na hiyo kadhia ndipo ilipowalazimu waanze kusaka maeneo mengine. Kwa bahati nzuri Kimara ndio ilikuwa sehemu nzuri(viwanja bei chee), mazingira yanafanana na Ubungo, karibu na Moshi. Hilo ndio chimbuko la Wachagga Kimara.
 
Back
Top Bottom