Kwanini?

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Nimejaribu kufikiria hili jambo lakini majibu niliyopata hayatoshelezi!!

Kwanini wanawake wenye magari(PRIVATE CARS) hawatoi lift kwa wanaume hata kwa wanawake wenzie lakini wanaume wanatoa lift kwa wanawake hata bila kuombwa pia wanakuwa wagumu kwa wanaume wenzie??!!
 
ni kweli aujapata jibu we bwna?
wanaume WANA ROHO NZURI SAAAAAAAAAAAAAANA ndo mana wanatoa lift kwa MADEM TU
wanawake wana roho mbaya saaaaaaaaaana ndo mana hawatoi lift
 
unajua nini mjita,mashori wenye mikoko yao kibongo bongo wanajiona matawi kivile
 
Nimejaribu kufikiria hili jambo lakini majibu niliyopata hayatoshelezi!!

Kwanini wanawake wenye magari(PRIVATE CARS) hawatoi lift kwa wanaume hata kwa wanawake wenzie lakini wanaume wanatoa lift kwa wanawake hata bila kuombwa pia wanakuwa wagumu kwa wanaume wenzie??!!

kuna watu wengine unaweza kuwapa lift ukakutwa ufukweni umekufa....mwanaume anampa mwanamke lift kwa sababu anaweza kumkabili ikitokea tatizo.....hampi mwanaume mwenzie kwa sababu anajua incase of kipondo...inaweza kuwa shida......umenielewa shemeji?
 
Pepo wa roho mbaya ndiye anatawala sayari ya nyota za wanawake
nimejaribu kufikiria hili jambo lakini majibu niliyopata hayatoshelezi!!

kwanini wanawake wenye magari(private cars) hawatoi lift kwa wanaume hata kwa wanawake wenzie lakini wanaume wanatoa lift kwa wanawake hata bila kuombwa pia wanakuwa wagumu kwa wanaume wenzie??!!
 
Nafikiri ni kweli wakati mwingine si kweli.

Siku moja mimi natembea zangu majira ya saa mbili usiku kwenye msitu wa Changanyikeni ukitokea UDSM, nilipewa lift na dada tena alikuwa peke yake ndani ya gari, nilishangaa sana na sikuwahi kumfahamu huyu dada kabla (anafanya kazi VODACOM.)
 
Mmh!! Sidhani kama wanaume wana roho nzuri kwann wanakuwa wagumu kwa MASELA wenzao??!!

ni kweli aujapata jibu we bwna?
wanaume WANA ROHO NZURI SAAAAAAAAAAAAAANA ndo mana wanatoa lift kwa MADEM TU
wanawake wana roho mbaya saaaaaaaaaana ndo mana hawatoi lift
 
Nimekuelewa Shemeji!!
Mi nilikuwa nafikiria labda wanaume wanategemea kupata ki2 fulani toka kwenye hiyo lift wala sio usalama??!!
Kwann wanatoa lift hata bila kuombwa??!!

kuna watu wengine unaweza kuwapa lift ukakutwa ufukweni umekufa....mwanaume anampa mwanamke lift kwa sababu anaweza kumkabili ikitokea tatizo.....hampi mwanaume mwenzie kwa sababu anajua incase of kipondo...inaweza kuwa shida......umenielewa shemeji?
 
Duh!! Vipi ulimwomba lift au alisimama mwenyewe akakupa??!!

Nafikiri ni kweli wakati mwingine si kweli.
Siku moja mimi natembea zangu majira ya saa mbili usiku kwenye msitu wa Changanyikeni ukitokea UDSM, nilipewa lift na dada tena alikuwa peke yake ndani ya gari, nilishangaa sana na sikuwahi kumfahamu huyu dada kabla (anafanya kazi VODACOM.)
 
Wadada hapendi kutoa lift kwa mtu yeyote kwasababu za kiusalama wengi hawako fit kupambana na majanga na kwa upande wa wanaume kutokuwapa lift wanaume wenzao ishu ipo hapohapo kwenye usalama lakini wanakuwa wepesi kuwapa lift wanawake kwasababu inaaminika kwamba wanawake kwa wanaume ni weak hivyo ni rahisi kuwadhibiti wakitaka kusababisha la kusababisha.
 
Kwa kifupi si vizuri kutoa lifti, kwa mtu usiemjua awe mwanamke au mwanaume, ni kwa kuhofia usalama tu. Unaweza mpa lift mtu then ajali ikitokea hutaamini kesi itakavyo kutesa.

Pia unaweza mpa lift mtu kumbe jambazi, kuna jamaa mmoja alikwenda kuwashusha wenzie home usiku wakitokea kula raha wakiwa njiani walikuta dada anaomba lift wakambeba USIKU WA MANANE, wengine wote walivyoshuka dereva alimuomba huyo dada ahamie siti ya mbele, lakini alikataa na ilikua sanane za usiku, wemekwenda hatua kidogo yule dada alimshuti yule kaka kwa nyuma kichwani.

Baada ya hapo alishuka na akaondoka bila kuchukua kitu, mshikaji alikutwa kwa VX yake amekufa. Kwa hiyo wasio toa lift hawana roho mbaya wengine wanafanya kwa nia nzuri tu na kuepa matatizo.
 
kuna watu wengine unaweza kuwapa lift ukakutwa ufukweni umekufa....mwanaume anampa mwanamke lift kwa sababu anaweza kumkabili ikitokea tatizo.....hampi mwanaume mwenzie kwa sababu anajua incase of kipondo...inaweza kuwa shida......umenielewa shemeji?

Shemejiiiiiii......Mh mh mh.
 
kuna watu wengine unaweza kuwapa lift ukakutwa ufukweni umekufa....mwanaume anampa mwanamke lift kwa sababu anaweza kumkabili ikitokea tatizo.....hampi mwanaume mwenzie kwa sababu anajua incase of kipondo...inaweza kuwa shida......umenielewa shemeji?

Brilliant!
 
Sababu zote zinachangia. Usalama, kujiona na ubinafsi. Mtu anaweza asikupe lifti hata kama anakujua tangu utotoni.
 
Thanks hapo nimekupata MAMUSHIKA!!
Ikiwa mchana vipi kuna tatizo lolote hapo kumpa lift??!!

Kwa kifupi si vizuri kutoa lifti, kwa mtu usiemjua awe mwanamke au mwanaume, ni kwa kuhofia usalama tu. Unaweza mpa lift mtu then ajali ikitokea hutaamini kesi itakavyo kutesa. Pia unaweza mpa lift mtu kumbe jambazi, kuna jamaa mmoja alikwenda kuwashusha wenzie home usiku wakitokea kula raha wakiwa njiani walikuta dada anaomba lift wakambeba USIKU WA MANANE, wengine wote walivyoshuka dereva alimuomba huyo dada ahamie siti ya mbele, lakini alikataa na ilikua sanane za usiku, wemekwenda hatua kidogo yule dada alimshuti yule kaka kwa nyuma kichwani. Baada ya hapo alishuka na akaondoka bila kuchukua kitu, mshikaji alikutwa kwa VX yake amekufa. Kwa hiyo wasio toa lift hawana roho mbaya wengine wanafanya kwa nia nzuri tu na kuepa matatizo.
 
Back
Top Bottom