Kwanini X-Mas na Sio Christmas

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Why get cross about Xmas?
By Emma Griffiths
BBC News

It fits neatly on shop sale signs and in headlines but the word 'Xmas' has a tendency to get people riled.

Some complain it takes the Christ out of Christmas, others assume it is a form of lazy shorthand.

Style guides at the Times, the Guardian and this website are among those which rule out its use, where possible.

But should this particular four-letter word be causing so much offence?

Researchers say it is a mistake to think of Xmas as a modern invention born on the High Street.

Christian credentials

And far from being an irreligious abbreviation, it appears to have impeccably Christian credentials.

The 'X' is thought to represent the Greek letter 'Chi' - the first letter of the Greek word for Christ, Christos.

Bill Purdue, an Open University historian and author of The Making of the Modern Christmas is among those who support this view.

"I suppose to us it will always look like an abbreviation, but it would first seem to be an abbreviation used by clerics with a good knowledge of ancient languages," he said.

Inge Milfull, assistant editor of etymology, OED
"A lot of people disapprove of it or think of it as blasphemous because they think the X stands for anonymity - the 'Mr X' sort of idea."

It seems Christmas has been abbreviated for at least the past 1,000 years.

Before Xmas, there was XPmas, according to Inge Milfull, assistant editor of etymology at Oxford English Dictionaries (OED).

She found references in the Anglo Saxon Chronicle as far back as 1021 and says the P was probably dropped later.

There may have been religious reasons for abbreviating Christ, as Jehovah was abbreviated in Hebrew, she said.

Resembles cross

"But of course it also saved space and in a gospel manuscript the word Christ would appear lots of times. Parchment was expensive so anything that would save space would be welcome.

"And it's no coincidence that X resembles a cross - there's quite an old symbol, an X and a P, called Chi-Ro, and it could be that an X looked like a symbol for Christ."

Whatever its origins, it was good enough for the poet Samuel Taylor Coleridge, who wrote in a letter in 1801: "On Xmas Day I breakfasted with Davy".

But, along with complaints that Christmas has become too commercial, critics of the word persist - and in some cases take direct action.

The former Bishop of Blackburn, the Right Reverend Alan Chesters, made a recommendation to his clergy that they avoid using the word altogether.

He is now retired, but the diocesan spokesman Martyn Halsall said "Xmas" was still a talking point, particularly among older people, regardless of its Greek meaning.

"I think that's a subtlety that is lost on most of the population," he said.

"As Christmas is in danger of becoming so over-commercialised people are saying: 'Let's remember what it is all about'."

A Church of England spokesman said there was no policy on using the word Xmas, and some clerics were well aware of its Greek roots and saw no problem with it.

But for Jane Wyles, deputy editor of the Church of England's C Magazine for the Diocese of Southwell, it is part of a "blasé attitude" towards Christmas which she finds offensive.

"I know Xmas has been substituted for Christmas for a long, long time but it gets my goat," she said.

"It is the glib way people substitute Christ with this anonymous 'X'. It's all part of the PC picture - Christianity gets squashed into a smaller and smaller corner."

She is also not convinced by the argument that the word's history makes it acceptable.

"It makes it a bit better but, at the same time, people aren't writing it for that reason. They are writing it for quickness," she said.

"When it comes down to it, it doesn't really matter, but it's just part of the whole degeneration of what, for me personally, is very important."


(BBC NEWS | UK | Magazine | Why get cross about Xmas?)
 
Je, wajua tofauti ya kati ya neno {CHRISTMAS} na
neno {X-MASS }?

Kama hujui soma hapa:

👇👇👇👇👇👇👇👇

CHRISTMAS ni MUUNGANO wa maneno mawili yaani CHRIST & MAS.

Hapo zamani, siku ya Tarehe 25 December, ilikua siku ya Kusherehekea MITAMBIKO YA KIPAGANI kabla MWANA WA MUNGU, YESU KRISTO hajazaliwa.

Baadae mwaka 533 AD, Mtakatifu Constantine, aliyekua Mkuu wa Kanisa la WARUMI, ambalo siku hizi linajulokana kama Kanisa la Katoliki (Kanisa la kwanza), aliibadili siku hiyo isiwe tena ya MITAMBIKO YA KIPAGANI badala yake siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa MKOMBOZI MWANA WA MUNGU YESU KRISTO na kuiita siku ya kusanyiko la KRISTO yaani CHRISTMAS.

1. CHRIST ni neno la kiingereza ambalo tafsiri yake ni KRISTO yaani MASIA au MPAKWA MAFUTA au ALIYETENGWA KWA KAZI MAALUMU.

2. MAS ni neno la KIYUNANI ambalo maana yake ni KUSANYIKO.

Kwa hiyo maana ya neno CHRISTMAS ni KUSANYIKO la KRISTO.

Kwa WAKRISTO wanaoamini siku hiyo, wawe makini sana na neno X-MASS!.

Inaaminika kuwa, baada ya siku hiyo ya kukumbuka kuzaliwa kwa YESU KRISTO, kupata umaarufu, neno X-MASS, lilikuja baadae sana na lililetwa na wapinga KRISTO ambao waliamua kufuta neno CHRIST kwa kuweka alama ya "X" yaani hakuna KRISTO.

Hiyo ilibadili maana kwa kusomeka X-MASS.

X-HAKUNA na MASS-KUSANYIKO, hivyo X-MASS, maana yake ni HAKUNA KUSANYIKO LA KRISTO! yaani HAKUNA CHRISTMAS!
Sasa, Kama wewe ni Mkiristo hutakiwi kutumia neno X-MAS, badala yake tumia neno CHRISTMAS

MUNGU awabariki muwe na CHRISTMAS Njema sio "X-MASS!"
 
we mpagani bado, chrismass bado ni la kipagana iwe inaaneikwa x mass au chrismqass kwa Kristo hakuzaliwa tarwhe hyo. ROMAN Katholic ndiye mwaanzilishi nsa ndiye mpinga kristo. beware
 
X ni namba ya kirumi ambayo inawakilisha namba kumi na inasemekana mataifa kumi yenye nguvu wakiwemo wa warumi walikaa na kuibadili siku ya matambiko waliokuwa wakisherehekea wakaamua washerehekee kuzaliwa kwa yesu excuse.
 
kiufupi tu ni kwamba hakuzaliwa tarehe 25 basi, usizungushe zungushe maneno, wakristo wengi hawaelewi wanafuata tu mkumbo
Ukweli ni huo kwamba si lazima siku aliyozaliwa Yesu Kristo ni tarehe 25 December, isipokuwa wakristu tunasherehekea KUMBUKUMBU ya kuzaliwa Kristu. Sasa sijui kwa nini watu wanaifanya iwe ishu wakati ni jambo jema sana kusherehekea kumbukumbu. Mbona waisilamu wamesherehekea tarehe 24/12/2015 na imekuwa inabadilikabadilika kila mwaka, nani ana haja ya kuuliza tarehe halisi? Tena madam ya Kristu ipo fixed na ni mara moja kwa mwaka, ina sound vizuri kuliko isingekuwepo kabisa au kama ingekuwa inabadilika kama waisilamu
 
Je, wajua tofauti ya kati ya neno {CHRISTMAS} na
neno {X-MASS }?

----------------------------------------------------------------------------------------------------

MUNGU awabariki muwe na CHRISTMAS Njema sio "X-MASS!"
Whatever itakavyoandikwa, jambo la msingi hapa ni DHAMIRA ya serehe za KUMBUKUMBU ya kuzaliwa Kristu. Unaweza ukaandika Christmas lakini huna dhamira ya kweli ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kristu, na mwingine akaandika X-mas akawa na dhamira ya kweli ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kristu. Wakristu especially Roman Catholic huwa tunazingatia sana DHAMIRA; "Kimtokacho mtu rohoni", sio just tu kukurupukia "kimuingiacho mtu mwilini".

Vinginevyo hii mijadala ya tuvitu tudogodogo huanzishwa na WAPINGA KRISTU ili kuwatoa wanadamu katika kuzingatia maudhui ya mafundisho ya Yesu Kristu. Watu wengi wamejikuta wakiingia kwenye mkumbo wa vitu visivyo vya msingi katika kuishika imani na kuanza kufanya malumbano ya vitu vidogo dogo kama hiki cha CHRISTMAS vs X-MASS, mara wengine wanahoji tarehe 25 December, mara wengine wanahoji unywaji wa pombe, mara wengine wanahoji ulaji wa nguruwe! Kanisa Katoliki linazingatia DHAMIRA ya kufanya hicho ni ipi? Inampendeza MUNGU? Inavunja moja ya amri za MUNGU? Nawatakia X-mas njema
 
Hey fellas.
Hakuna haja ya kuwasemasema tena wachagga kuwa eti kwa nini wanaenda kwao mwezi wa kumi na mbili(December )
kutambika kwani wao wanaijua historia na wanachojua ni X-MAS.
 
Naomba niwasaidie kidogo. Neno Xmas ilianza kutumika Marekani ili kuwa politically correct au PC kwa wale ambao siyo wakristo na wanataka kutuma au kupokea salamu ya Wakristo. Hivyo ndiyo maana neno Christ haitumiki bali X ambayo ni neutral. Hii issue iko straight forward ila naona imeundiwa story nyingi za ajabu. Ila haijalishi alomuradi uelewe Xmas hutumika na non believers.
 
Hey fellas.
Hakuna haja ya kuwasemasema tena wachagga kuwa eti kwa nini wanaenda kwao mwezi wa kumi na mbili(December )
kutambika kwani wao wanaijua historia na wanachojua ni X-MAS.
Hahahah!
 
je kuna ushahidi wowote kwamba kanisa hukiri kwamba yesu alizaliwa tarehe 25 dec??

nachokitambua mimi christmass ni sikukuu ya kukumbuka kuzaliwa kwa yesu na si siku ya kuzaliwa yesu

tofautisha maana hizo
 
Whatever itakavyoandikwa, jambo la msingi hapa ni DHAMIRA ya serehe za KUMBUKUMBU ya kuzaliwa Kristu. Unaweza ukaandika Christmas lakini huna dhamira ya kweli ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kristu, na mwingine akaandika X-mas akawa na dhamira ya kweli ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kristu. Wakristu especially Roman Catholic huwa tunazingatia sana DHAMIRA; "Kimtokacho mtu rohoni", sio just tu kukurupukia "kimuingiacho mtu mwilini".

Vinginevyo hii mijadala ya tuvitu tudogodogo huanzishwa na WAPINGA KRISTU ili kuwatoa wanadamu katika kuzingatia maudhui ya mafundisho ya Yesu Kristu. Watu wengi wamejikuta wakiingia kwenye mkumbo wa vitu visivyo vya msingi katika kuishika imani na kuanza kufanya malumbano ya vitu vidogo dogo kama hiki cha CHRISTMAS vs X-MASS, mara wengine wanahoji tarehe 25 December, mara wengine wanahoji unywaji wa pombe, mara wengine wanahoji ulaji wa nguruwe! Kanisa Katoliki linazingatia DHAMIRA ya kufanya hicho ni ipi? Inampendeza MUNGU? Inavunja moja ya amri za MUNGU? Nawatakia X-mas njema
Kitendo cha kujua iki sicho ukafanya iyo pia ni dhambi hakuna haja ya upinzani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom