Kwanini wengi wa wanawake wanfanya hivyo?????

4. Ina maana siku nzima hujapata sms?? Kama ndio, kwa nini?? Kama hapana... zimeenda wapi?

teh teh teh teh duuuuuh hiiiyo kali mkuuu hapo lazima tu ndoa ikushinde sasa na turisha wahi sema thread ya simu ni kuna umuhimu wa wewe usome sms,na vitu vingine kwa simu ya mmeo au mkeo? hii ni kuwekeana pressure bandugu,

i dont dare touch my wife's phones at all, ni mazoe mabaya sana na sio mazuri and she does the same
 
ndoa ngumu eeeh....

Mmhhh me nadhani kuwa twa interpolate ndoa vibaya tu nadhni ni sisi twaifanya ndoa kuwa ngumu sisi wawili bianadamu gani hatupendi sikilizana jamani,

Kwamfano Rafiki yangu mmoja yeye wakigombana na mkewe tu maneno maneno wife anaenda police anakuja nao na anaenda msweka mumewe ndani 2days then washikaji wanaenda mtoa jamaa ikafika mahali akamwambia wife sasa basi kila mtu atizame upande wake maaana hata wazazi waeishindwa kuiweka sawa hiyo ndoa sasa hapo siju yalikuwa ni makosa gani mpaka mmoja wao anaamua msweka mweziwe ndani(police) jamani.

...............Hapo nilipotia alama hapo--- tafadhali usiusemee moyo maana sio wanaume wote wenye tabia hii uliyoiongelea hapo. Mie nilikuwa nakatiwa simu ikiita mara mbili sijapokea inakatwa na hata upige utapiga weee hadi switch za Tigo zijam- hapokei na bado akirudi unatoa maelezo kwa nini amepiga simu imeita hukupokea!!

Kuna siku nilishawahiandika hapa kuwa kuna mtu akitoka kazini lazima awe na summary ya
1. Nani alimpigia na alimpigia kwa sababu gani
2. Missed calls - ni za nani na kwa nini hakupokea (Hata kama alibeepiwa au ilikuwa wrong number ni lazima ajue ni nani alimwrongia na kwa nini hakuwrong sehemu nyingine iwe kwake tu??)
3.

MJ1.... kamanda!!!

once you enter into that phase, just know that you are a prisoner in paradise... so close but yet so far to love!!! Unakumbjuka movie ya Julie Robert inaitwa "sleeping with the enemy?"
 
Jethro naona upande wa wanawake umeugezia kwa wanaume ..imekuwa vice versa

Teh teh teh, ulivyo post thread yako na hiii issue ilikuwa kichwani tokea jana ila nikawa nimetingwa sana na kazi leo ndio ikawa imekuja wakati muafaka,

FL1 katika hii hali both sides ulisha wahi muuliza mtu aka define what is ndoa, na mwingine uka muuliza define what is Life, sasa hapa muulize mtum aliye kutwa na haya usikie atakavyo kujibu

tena ukisahau simu nyumbani ni mbaya zaidi kwa sababu utaambiwa umesahau makusudi ili usitafutwe!!
 
Ila cha ajabu utamkuata mwaume akipigiwa tu au kutumiwa msg utamwona anajibu faster kweli hata kama yupo anakula au yupo kwa kikao atajitahidi kwa hali na mali atoke japo 2mins akujibu,
Colonial legacy
 
...............Hapo nilipotia alama hapo--- tafadhali usiusemee moyo maana sio wanaume wote wenye tabia hii uliyoiongelea hapo. Mie nilikuwa nakatiwa simu ikiita mara mbili sijapokea inakatwa na hata upige utapiga weee hadi switch za Tigo zijam- hapokei na bado akirudi unatoa maelezo kwa nini amepiga simu imeita hukupokea!!

Kuna siku nilishawahiandika hapa kuwa kuna mtu akitoka kazini lazima awe na summary ya
1. Nani alimpigia na alimpigia kwa sababu gani
2. Missed calls - ni za nani na kwa nini hakupokea (Hata kama alibeepiwa au ilikuwa wrong number ni lazima ajue ni nani alimwrongia na kwa nini hakuwrong sehemu nyingine iwe kwake tu??)

3.
Mwanajamii :hail: hapo underlined ulikuwa unampenda sana jamani...umeacha kufanya hivyo sikuhizi?

lollll.... ( in italic) this is totally turn off for me.... trust issue is one thing I can not tolerate.... kuna usiku mmoja nilikuwa nimelala (under my husband's arms) simu yangu ika ring (saa 8 usiku).... nikaamka to get it...ila jamaa hajaongea.... hello hello hello...nobody ...anyway I went back to sleep... after two minutes akapiga tena.... now this time my husband got up.... who is that calling u at this time? he asked" I said I donno.... akaipokehe simu this time... and the caller still didnt decide to speak.... now that made my husband really mad or may be suspicious ( i dont know )... akataka kujua who is that calling and why he wouldnt speak.... akajaribu kupiga ile number ila yule mtu hajapokea.... may be he called 10 times... jamaa still hajapokea... halafu baadae kidogo yule caller aka tuma msg "pls dont call, this is my husband's number".... OMG why did she say that? now husband got more suspicious... arghhh I was tired I wanted to go back to sleep but he wouldnt let me....he started a fight... but I ditdnt allow him... I told him listen i dont wanna talk about this right now... go back bed we can discuss this tomorrow... I left the room... How dare he thinks I am that kind of woman (it hurts)? anyway next day my husband called that number and it turn out the wife was calling randomly she took her husband's phone and started to call ppl randomly.... stupid....
 
heee hiyo ndio sababu ya kumfanya mtu awe na nyumba ndogo? bac kazi ipo kha.

Actually haiwez kuwa sababu ila kuna significant difference kati ya 'nyumba kuu' na 'nyumba ndogo' kuhusiana na suala la kuwa makini na kupokea cm. Nyumba ndogo ziko makini sna aisee.. na tabu ni kuwa mtu unaweza kuwa na tatizo siriaz la afya, usafiri, usalama nk, na mtu mwenye uwezo wa kukusaidia ni wife pekee, alaf unapiga cm haipokelewi, eti imeachwa kwenye pochi!!!!!!
 
Mwanajamii :hail: hapo underlined ulikuwa unampenda sana jamani...umeacha kufanya hivyo sikuhizi?

lollll.... ( in italic) this is totally turn off for me.... trust issue is one thing I can not tolerate.... kuna usiku mmoja nilikuwa nimelala (under my husband's arms) simu yangu ika ring (saa 8 usiku).... nikaamka to get it...ila jamaa hajaongea.... hello hello hello...nobody ...anyway I went back to sleep... after two minutes akapiga tena.... now this time my husband got up.... who is that calling u at this time? he asked" I said I donno.... akaipokehe simu this time... and the caller still didnt decide to speak.... now that made my husband really mad or may be suspicious ( i dont know )... akataka kujua who is that calling and why he wouldnt speak.... akajaribu kupiga ile number ila yule mtu hajapokea.... may be he called 10 times... jamaa still hajapokea... halafu baadae kidogo yule caller aka tuma msg "pls dont call, this is my husband's number".... OMG why did she say that? now husband got more suspicious... arghhh I was tired I wanted to go back to sleep but he wouldnt let me....he started a fight... but I ditdnt allow him... I told him listen i dont wanna talk about this right now... go back bed we can discuss this tomorrow... I left the room... How dare he thinks I am that kind of woman (it hurts)? anyway next day my husband called that number and it turn out the wife was calling randomly she took her husband's phone and started to call ppl randomly.... stupid....

Noname ......siku hizi nimeacha bana. Moyo umejaa viraka hata pa kuweka pendo jipya hakuna.

Hahaha naimagine ingetokea kwangu mie lol yaani ingekuwa bonge la kesi. Mie kulikuwaga hakuna wrong number yaani nikiipata wrong number naambiwa kwa nini akosee kwako, mnajuana na kama kapiga usiku ni kwa nini akupigie usiku aghrrrrrrrrrrrr that man!! alinipatiaga kweli.
 
MJ1.... kamanda!!!

once you enter into that phase, just know that you are a prisoner in paradise... so close but yet so far to love!!! Unakumbjuka movie ya Julie Robert inaitwa "sleeping with the enemy?"
Niambie kamanda (hili jina hata sijui limetokea wapi.... mwe!! ntafanyaje ngoja nilikubali tu)

Yep yaani ndo yenyewe kabisa- Sleeping with an Enemy mtu wangu. Laiti binadamu tungepewa uwezo wa kusoma yaliyomo moyoni mwa mwenzio mh tungekimbiana kabisa
 
Sikujua kama bado hujanisoma!
 
Noname ......siku hizi nimeacha bana. Moyo umejaa viraka hata pa kuweka pendo jipya hakuna.

Hahaha naimagine ingetokea kwangu mie lol yaani ingekuwa bonge la kesi. Mie kulikuwaga hakuna wrong number yaani nikiipata wrong number naambiwa kwa nini akosee kwako, mnajuana na kama kapiga usiku ni kwa nini akupigie usiku aghrrrrrrrrrrrr that man!! alinipatiaga kweli.
Vizuri kama umemuacha... ila u have to work on urself ili hivyo viraka vitoke... yaani bandua viraka.. u will get someone who will treat u better utamsahau huyo X...
 
Teh teh teh teh teh!!!!!

Umeniacha hoi sana nyamayao, hiyo halii inakuwa ni ngumu sana kwetu sie wanaume unakuta tumeisha lalama mpaka sasa unajiuliza ivi huyu mwanamke hajui umuhimu wa simu yake jamani duuuh,

Ndio maana unakuta watu wengine wenye watoto huwa inawalazimu kununua simu na kuwa watoto wao unakuta umechelewa kurudi mara mtoto anakupigia dadii uko wapi hujarudi na hii ndio njia nyingine kumshika chini mumeo awahi rudi home

mie watoto wakiwa likizo nafurahi kweli...mana ka mdada hakatakagi kula ucku mpaka ale na dady wake, lazima awahi kurudi!...lol

Mmhhh me nadhani kuwa twa interpolate ndoa vibaya tu nadhni ni sisi twaifanya ndoa kuwa ngumu sisi wawili bianadamu gani hatupendi sikilizana jamani,

Kwamfano Rafiki yangu mmoja yeye wakigombana na mkewe tu maneno maneno wife anaenda police anakuja nao na anaenda msweka mumewe ndani 2days then washikaji wanaenda mtoa jamaa ikafika mahali akamwambia wife sasa basi kila mtu atizame upande wake maaana hata wazazi waeishindwa kuiweka sawa hiyo ndoa sasa hapo siju yalikuwa ni makosa gani mpaka mmoja wao anaamua msweka mweziwe ndani(police) jamani.

hapana aisee....huko amefika mbali sana.
 
Mwanajamii :hail: hapo underlined ulikuwa unampenda sana jamani...umeacha kufanya hivyo sikuhizi?

lollll.... ( in italic) this is totally turn off for me.... trust issue is one thing I can not tolerate.... kuna usiku mmoja nilikuwa nimelala (under my husband's arms) simu yangu ika ring (saa 8 usiku).... nikaamka to get it...ila jamaa hajaongea.... hello hello hello...nobody ...anyway I went back to sleep... after two minutes akapiga tena.... now this time my husband got up.... who is that calling u at this time? he asked" I said I donno.... akaipokehe simu this time... and the caller still didnt decide to speak.... now that made my husband really mad or may be suspicious ( i dont know )... akataka kujua who is that calling and why he wouldnt speak.... akajaribu kupiga ile number ila yule mtu hajapokea.... may be he called 10 times... jamaa still hajapokea... halafu baadae kidogo yule caller aka tuma msg "pls dont call, this is my husband's number".... OMG why did she say that? now husband got more suspicious... arghhh I was tired I wanted to go back to sleep but he wouldnt let me....he started a fight... but I ditdnt allow him... I told him listen i dont wanna talk about this right now... go back bed we can discuss this tomorrow... I left the room... How dare he thinks I am that kind of woman (it hurts)? anyway next day my husband called that number and it turn out the wife was calling randomly she took her husband's phone and started to call ppl randomly.... stupid....

kweli kila mtu na vituko vake kwenye hili game...lol
 
Vizuri kama umemuacha... ila u have to work on urself ili hivyo viraka vitoke... yaani bandua viraka.. u will get someone who will treat u better utamsahau huyo X...
Yap,ni kweli! kuna msemo unaosema ......'ukisema wa nini,wengine wanasema ntampata lini".......inabidi upone moyo ili uendelee na maisha kwani kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi.
 
Noname ......siku hizi nimeacha bana. Moyo umejaa viraka hata pa kuweka pendo jipya hakuna.

Hahaha naimagine ingetokea kwangu mie lol yaani ingekuwa bonge la kesi. Mie kulikuwaga hakuna wrong number yaani nikiipata wrong number naambiwa kwa nini akosee kwako, mnajuana na kama kapiga usiku ni kwa nini akupigie usiku aghrrrrrrrrrrrr that man!! alinipatiaga kweli.

weli alikupata dearest, sio uongo!...hatakaa apate tena maishani mwake...kaichezea hiyo!
 
Back
Top Bottom