Kwanini Wazungu wanapenda mabinti wembamba na sisi weusi twapenda mashepu?

Raha ya yale mambo hata kuangalia tu jamani, viportable havitazamiki, ila wenye nyama mashalaa, ukichki kitumbua kilivyojaa
 
ole wenu mnaowapenda wanawake sababu ya shep watu hubadilika.....hivi mbona watu hawaongelee mavitambi au hizo sio issu.?
 
Hivi kweli tuseme kutoka moyoni, hivi ng'ombe mwenye nundu na asiye na nundu yupi utamkimbilia @ we kibhopile, halafu we wakuchakachua acha ukali bwana we ndizi mshale huzijui bwana, huwajui wale wenye miguu kama miti ya genge, kibweka we ndio mtu , mimi ni mzee wa mapaja ctaki vipapatio, ashishshshshsh, acha kabisa
hahhahaaa wewe nakwambia hujatafuta mtoto wa kichaga ukamuona yani machame yenyewe si paja si mguuu si sura, weewew embu tutafute utuone bwana sio maneno yako ya wanene wanene tu ni shape za ukweli na uhakikia kijana:smile::smile:
 
mmh jaman wepes wa mtu haujali unene au wembamba wa mtu
Hapa mwamba ngozi au vipi? asilimia ndogo sana wanaweza kujisukuma kidogo hapo uwanjani. Hata na nyie
akina dada tunajua hataki mafriza tena siku hizi, maana likikuegamia tu gas zinaanza kutoka ovyo ........ :smile-big:
 
Aisee nimemkumbuka mamsapu,

Baadae wanaJF ngoja nimtafute wife wangu kiportable hata hapa kwa ofisi tunamalizana. havunji meza kama ile mizigo isiyojali afya zao
 
Wazungu wenyewe wasema " Go for QUALITY not QUANTITY"!!, na fikra za weusi, kawaida twapenda Quantity hata kama si nzuri.
 
kwakweli kwangu, japo hao portable wana tabia ya ukali na wivi sana lakini kwenye gemu ni user friend zaid
 
Wazungu wenyewe wasema " Go for QUALITY not QUANTITY"!!, na fikra za weusi, kawaida twapenda Quantity hata kama si nzuri.

Naunga mkono hoja yako mia kwa mia. Mweusi ukimpa option ya kitu kimoja kati ya kizuri na kibaya, lazima atakwenda kwa baya.
 
Ndugu wanajua siri wanayopata
jaana nikiwa tmj nilikuta dada mmoja mrefu 25 yrs ni mwembaamba mpaka basi yuko na bau wa kizungu almost 60,nilibahatika kuona kadi ya yule binti kalaikuja kupima hiv test yaani yule mzee amemshika kiuno watu wewe semeji semeji..mzee alikuwa amekuja kupima kifua akaanza kumtania na mi nipime mzungu akasema no p if u like i can do..nkasema we mwenzako anataka kuona test walahi na mi ningemwambia apime kwani wazungu ndi awana ngoma...anyway ni siri wanayoipata..inshort kuna alie niambia jamaa wengi wana mizinga mirefu so kama unavoyjua wengi warefu wembamba nani zao ndefu so aiwapi shida kama mitulinga ya six by seven unakuta wakiingiza kidogo makelele unatoboa kizazi kizazi huku mwenzio anakuonyesha half ya mzigo uko nje natoboaje??so wanavoid matatizo kama haya hiyo ni ya mtaani jamani sijui wenye mengine mawazo
 
nimekuwa nikijiuliza bila kupata jibu.kwanini wazungu wanapenda mabinti wembamba na sisi weusi twapenda mashepu?
Lakini hivyo vibinti vyembamba vinavyotoka na wazungu vinakuja tena kwetu kukandamizwa ki sukuma huku ikisingizia kuwa wazungu ni wa baridi.

tigo...
 
Binafsi mzungu sioi. Wanawake wa kizungu wanapenda kuwa under control wakiwa uwanjani. Yaani wao wako juu
sasa kama umechua bigwa wa judo uwe na nguvu za kulibeba. Chocolate skin mali bwana na mbambataa kahaja

Mkuu, umekwenda nje ya mada. Kwani kunako 6X6 kuna mambo ya mieleka?
 
Wazungu wanataka vimodo inakuwa rahisi kuwapindua kisarakasi sio mnene utamuinua saa ngapi labda uwe unacheza sumo.

Jamani unene si afya....binafsi kama mwanamke, unene, mitako, mihipsi mikubwa sipendi. Naona ni mali ya watu wavivu...lol
 
Sipendi kabisa wasichana mabonge na wanene.
Napenda wembamba(model)
mpenzi wangu ni mwembamba.

I AM AGAINST THE MOTION.
naanza na ushahidi wa humuhumu.
SIO KWELI KWAMBA WAAFRIKA TUNAPENDA WANAWAKE WANENE.
mpaka sasa kuna thread humu iliyokuwa inauliza kwa nini wanawake wanane hawaolewi?Ukisoma michango mingi unagundua hawa wanawake hata hapa hawana kabisa soko na ndio maana hawaolewi.
NAKUBALI KUWA WAZUNGU HAWAPENDI WANENE,kuna taarifa gazeti la mwananchi ilichapishwa mwezi uliopita juu ya utalii wa ngono zanzibar unaofanywa na wanawake wanene na wazee wa kizungu ambao hawana soko kwao.Take a read.

MY VIEWS.
1.kimuonekano tu wembamba wanamuonekano mzuri sana
2.wanene hata wajilembe vipi bado wembamba wanapendeza zaidi kuliko wao
3.mwemba wangu ananifurahisha mno.
4.portability.
5.wanene ni wepesi wa kuchoka,hata kutembea tu hawawezi.
6.wana toa jasho mara kwa mara.
7.mwanamke mnene na mwanaume mwembamba wapi na wapi?Na isitoshe watu wanene si wengi sana,waoane wanene kwa wanene.
 
yaani kiuno namaanisha kiuno cha mwembamba kinavutia unapokishika...


Nimekuwa nikijiuliza bila kupata jibu.Kwanini Wazungu wanapenda mabinti wembamba na sisi weusi twapenda mashepu?
Lakini hivyo vibinti vyembamba vinavyotoka na wazungu vinakuja tena kwetu kukandamizwa ki SUKUMA huku ikisingizia kuwa wazungu ni wa baridi.
 
Hiyo ilikuwa zamani,siku hizi wazungu wanapenda madude yenye shape za haja sio vimbaumbau tena,lakini pia inategemea ni wazungu wa wapi,ulaya ndio wanapenda sana wembamba pande nyingine za dunia wana mtazamo tofauti, kama hapa Aussie!
 
Back
Top Bottom