hahahaha ila jamaa wale acha kwa ubaguzi,mimi asili yangu ni mtu wa bara yaani tanganyika ila babu yangu alihamia kule na baba yangu amesoma unguja then akahamia dar akaoa dar na sisi sote tumesoma dar ila jamaa zetu na wengi wapo zanzibar..ila huwezi amini hata kama tunashughuli lazima watasema pale kwa wabara na nlishawahi kuitwa chogo live wakati nimefaulu form four yangu.
hahaha... sasa sisi wabara tulivyokuwa tunawaita Mdebwedo ... Yote haya alisababisha JOTI na Kichogo chake... hehehehe!