Kwanini Wazanzibar watuite Machogo(Chogo), ni Haki kweli?

Duh noma sana kuitana vichogo! hata hivyo bado ndugu zetu hata kama mna vichogo,,,,,

Muungano Daimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

dah mkuu na huku kuchomeana nyumba naona muungano utakufa tuu no any other means
 
Kuna ukweli kidogo katika hili, ni kweli vichwa vya Wazanzibari wengi havina kisogo, inasemekana kwamba wanapokuwa wadogo hulazwa chali ili kuhakiki hawawi na kisogo. Sifahamu kama kuna athari zozote katika afya ya ubongo kati ya mwenye kisogo na asiyekuwanacho

Wazanzibari wako hivi:
head 1.jpg

Watanganyika wako hivi;
human-head-reference-picture-right.jpg

Bali tusiende mbali kwa kuanza kubaguana kwa jinsi hii, tukumbuke watusi na wahutu.

Hii ni sawa tu na kusema wamasai ni warefu, sifikiri kama kuna ubaya.
 
Yan wao ni wa kujifananisha na sis? Mbona hawana lolote zaid ya kumind michezo ya kishetani? Tutawachapa then tuone ni nan chogo zaid,pambaf!
 
Mnaitwa machogo sababu ya muundo wa Vichwa. vyenu ambao majority vipo hivyo Na mnashindwa kutofautisha R na L.

Na jina hilo mmepewa mara baada ya kukataa Kuitwa Watanganyika baada ya ndoa yenu na kutaka kuitwa waTanzania.
 
Mimi nimesoma Shule ya Msingi Msasani, pale kulikuwa na Kitengo cha Elimu Maalum kwa wenye mtindio wa ubongo, wanafunzi wote wa shule ile, Salmin, Humphrey, Hafidh, Sarah na wengine hawakuwa na machogo kabisa. Nikilinganisha na utendaji wa hao ndugu zetu, kutuchomea maduka, ulalamishi, kupenda kazi za kushona, kuuza duka(Bravo ndugu zangu wa Pemba wachapakazi) naona wanastahili kuongeza idadi kwenye kile kitengo pale Msasani. Najivunia CHOGO langu, linalothibitisha ukubwa wa Oblangata langu....
 
Labda nkusuali kidogo. Kwanini mnachukia mkiitwa Watanganyika ila mnapenda mkiitwa MaChogo?
 
Mkubwa vingine ni kupuuzia tu ili siku zizidi kusonga mbele, kwani wao hana chogo? Wape pole ili upata kubarikiwa!
 
Labda nkusuali kidogo. Kwanini mnachukia mkiitwa Watanganyika ila mnapenda mkiitwa MaChogo?

Safi sana, inaonesha huo utafiti wa majina tunayoyafurahia ndio uliyafanyia PhD yako, na ukagraduate vizuri sana. After all, kwangu jina ni utambulisho, yaani linitofautishe na wengine. Ukiniita chogo, Mtanganyika, hata Mzanzibara ukipenda, mradi linaniweka odd one out ni poa tu! Swali linakuja kwako, kama umefanya utafiti na ukagundua ni jina lepi tunalifurahia na ni lepi tunalichukia, fanya na mwingine wa kujua sababu. Usisafirie nyota za wenzio!
 
Rose sio dili kutusema namna hio bana mbona nyi mnatuita majina mengi tu ajabu ajabu hatuongei jamani.....kwa hio watanganyika hawanuki vikwapa sio daaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh sio issue mtu wangu))))))
 
Rose sio dili kutusema namna hio bana mbona nyi mnatuita majina mengi tu ajabu ajabu hatuongei jamani.....kwa hio watanganyika hawanuki vikwapa sio daaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhh sio issue mtu wangu))))))

Sorry brother, kuna Wazanzibar nawaheshimu sana, kina Saleh, clasmet wangu Aziza n.k. Ila kuna watu wanachefua kaka... Sasa kama huyu Barubaru, hana point, hana mantiki, hana mpangilio yani alimradi vurugumechi.
 
Hawa jamaa wanani piss off sana hawa, ingekua amri yangu ni kwenda kuwashikisha adabu tuu!

Subutu utashikishwa adabu mwenyewe.Malindi balaa,simba na ukorofi wake wote katulizwa sasa buheri anachezewa masharubu huku watu wala vyao.
 
hahaha... sasa sisi wabara tulivyokuwa tunawaita Mdebwedo ... Yote haya alisababisha JOTI na Kichogo chake... hehehehe!
 
hahaha... sasa sisi wabara tulivyokuwa tunawaita Mdebwedo ... Yote haya alisababisha JOTI na Kichogo chake... hehehehe!

hahaah mkuu unataka kusema jina la chogo ni la joti? au kwakua aliwaita mdebwedo?
 
Sorry brother, kuna Wazanzibar nawaheshimu sana, kina Saleh, clasmet wangu Aziza n.k. Ila kuna watu wanachefua kaka... Sasa kama huyu Barubaru, hana point, hana mantiki, hana mpangilio yani alimradi vurugumechi.

Kaka kwa mtizamo wangu swala la chogo ni utani tu ,nakumbuka mchezaji mahiri wa ufaransa Thiery Henry naye 'kabatizwa' jina chogo.No offence meant ni utani tu.
 
hahaah mkuu unataka kusema jina la chogo ni la joti? au kwakua aliwaita mdebwedo?

hehehe.. nadhani ni hivo mkuu... joti aliwaonea sana na ile kubonyeza kizenji.. "mdebwedo" haki yao ku react na chogo la joti lile.. sababu walikuwa wakipata tabu sana na lile jina "mdebwedo" kutoka kwetu sisi wabara ...hehehe!
 
Wakikuita "chongo" we waite "vichwa bapa" a.k.a MABAPA maana wengi wao vivya vyao bapa kama kobe- hapo itakuwa bila bila.
 
Nilikuwa nawaza sana niliposikia sisi kuitwa machogo na hawa wagunya,lakini kwa sababu tumesikia kuna mafuta bora tunyamaze tusubiri na sisi tufaidi yakiisha tunaweza vunja muungano
 
Back
Top Bottom