Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
Kuroga ni sayansi inayowezesha maisha ya kila siku kuwa marahisi.......muulize cupcake wako gambushi ni nini?
mimi nina shamba langu nachukua watu 1000 wenye nguvu wanalima napata mazao......uoni nifaida hiyo?
Mchawi ni bora sana katika uchumi nyie ndio mnafanya mpaka teknolojia yetu tusiwagawie wengine.....
mfano usafiri.......ni usafiri gani usiokuwa na gharama na wa kasi kama wa mchawi ungo........unajua mwendo kasi wa ungo?
usije ukaniambia uchawi ni kula nyama za watu....kula nyama za watu ni tabia haipo katika katiba ya uchawi.....
nyie na vidini vyenu mmetuaharibia maisha....mmefanya yamekuwa magumu
hebu acha kumtisha cupcake bana...