Kwanini Watu wa Kaskazini (Kusini na Magharibi kidogo) Wanataka Mabadiliko?

nchi yoyote duniani huwa inahijidi mabadiliko.hata marekani walimwondoa bush kwa kumchagua obama.tanzania ina rasilimali zote za kuwa nchi tayari.shida ni ulafi , kukosa viongozi,ufisadi, na wizi, ubinafsi.wananchi wamechoka na umaskini.viongozi kazi yao ni kuuza mali zetu na kujinufisha wenyewe.

Bushi alimaliza muda wake kikatiba hakuondolewa, isipokuwa waiiondoa Republican madarakani!
 
Back
Top Bottom