Jamani hivi kwanini watanzania tunapinga kupanda kwa bei? au hatutaki maendeleo?
kupanda kwa bei kunaonyesha tunaenda na wakati? jamani hivi kweli mtagoma kwa kasababu kadogo tuu ka kupanda bei na kupanda kwa gharama za maisha?
kwanini unasema same salary kwani mshahara hautakiwi kupanda nadhani tunatakiwa kujipanga ili kukabiliana na mfumuko wa bei na si kubwetekaNaona anataka ongeza idadi ya post au labda haelewi impact ya kupanda kwa umeme kuwa production cost itapanda na bidhaa zote kuwa juu at the same Salary
Jamani hivi kwanini watanzania tunapinga kupanda kwa bei? au hatutaki maendeleo?
kupanda kwa bei kunaonyesha tunaenda na wakati? jamani hivi kweli mtagoma kwa kasababu kadogo tuu ka kupanda bei na kupanda kwa gharama za maisha?
unadhani kwa mwananchi wa kawaida nini anachoweza kukabiliana nalo ni kupinga kupanda kwa bei au kujalibu kuongeza kipato chake?Godwine,
Ni kwa sababu wakati gharama za maisha zinapanda, kipato cha wengi hakipandi na hivyo kukosa uwezo wakulipia nyongeza za bei za bidhaa na vitu vyengine ambavyo vinapanda bei kila jua linapochomoza. Ukweli ni kuwa mlalahoi ameshachoka kufunga, kukaza "mkanda".
Matokeo ya haya ya kupanda kwa bei na gharama za maisha hapa TZ inachangia kujenga jamii inayozungumzwa kwenye hiyo post chini.
pitia post hii Je ni kweli watu weusi ni wajinga,wabinafsi na wachoyo??? huko kuna vitu vya kujifunza.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tu-weusi-ni-wajinga-wabinafsi-na-wachoyo.html
unadhani kwa mwananchi wa kawaida nini anachoweza kukabiliana nalo ni kupinga kupanda kwa bei au kujalibu kuongeza kipato chake?
kwanini unasema same salary kwani mshahara hautakiwi kupanda nadhani tunatakiwa kujipanga ili kukabiliana na mfumuko wa bei na si kubweteka
mimi ni mtz mkuu lakini katika hoja yangu natamani kupanda kwa bei kwasababu ni namna mojawapo ya kuwafanya wafanyabiashara wavutiwe na kupenda kuwekeza katika biashara fulani kwani ni hatari kubwa kwa bei kutopanda au kushuka kwa wafanya biashara . pia kushuka kwa thamani ya fedha kunafanya ulipaji wa mikopo ya muda mrefu kuwa nafuu.......kwa mfano kama ulikopa shs 1 milioni mwaka 2005 kwasasa ni laisi kulipa na vilevile kupanda kwa bei ni changamoto ya nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi kwa ujumlamkuu kwanza we ni raia wa nchi gani? Unajua kuna kupanda kwa bei(inflation) ya wastani kama asilimia 5 hivi ikizidi hapo ni tatizo na ndio inasababisha thamani ya sarafu yetu kushuka kila mara.
Godwine,
Ungetusaidia sana ungetuambia kwa nini wewe hupingi kupanda kwa bei?
Bila shaka wewe hujabweteka kwa hiyo hela haikupi shida,unamudu maisha hata kama bei zita-sky rocket! sasa tusaidie maujanja na sisi ili tuongeze vipato vyetu.
Kwa mfano wewe binafsi unafanya kazi au shughuli gani kuweza kumudu gharama za maisha?
kikubwa ni kuwa na mipango madhubuti katika kujua ni vitu gani vinapanda thamani kwa kasi kwa mfano unaweza kuchukua mkopo na kujenga nyumba ndani ya miaka miwili kama thamani ya fedha yetu itadondoka au vitu kupanda bei basi utakuwa unalipa deni kwa thamani ndogo kuliko ulivyokopa..... pili kupanda kwa bei kunavutia wafanya biashara kuingia katika ushindani kwa mfano nauli zikipanda basi watu watanunua mabasi zaidi na huduma ya usafiri itakuwa nzuri na kupunguza usumbufu
Mkuu,kikubwa ni kuwa na mipango madhubuti katika kujua ni vitu gani vinapanda thamani kwa kasi kwa mfano unaweza kuchukua mkopo na kujenga nyumba ndani ya miaka miwili kama thamani ya fedha yetu itadondoka au vitu kupanda bei basi utakuwa unalipa deni kwa thamani ndogo kuliko ulivyokopa..... pili kupanda kwa bei kunavutia wafanya biashara kuingia katika ushindani kwa mfano nauli zikipanda basi watu watanunua mabasi zaidi na huduma ya usafiri itakuwa nzuri na kupunguza usumbufu
natambua hilo inabidi kufika wakati watanzania kujiunga kwenye vikundi na kuandika proposal za miradi na kuomba fedha kwenye taasisi za fedha na si kusimama mwenyeweMkuu,
Unanifurahisha sana.
mlalahoi hajui mkate ataupata wapi leo unazungumzia biashara gani?
wamachinga si unawaona kama upo mitaani, wanajitahidi kuzunguka huku na huko kutafuta hela,
wakulima ndio hivyo, wanajitahidi lakini mwisho wa siku wanakuta wako sufuri.
sasa hawa unawowazungumzia ni akina nani?
Makamba? watoto wa Kikwete? Lowassa? bakhresa?
walalahoi huko benki wakaoneshe hati gani mpaka wapate mkopo?
wewe mwenyewe unafanya nini mkuu? mbona unabania hayo maujanja? yamwage hapa ili tuchangamkie maisha, na sisi tuache kupinga ongezeko la bei.. au ndio unatutania??
Godwine ,unazungumzia umma wa watu kama 35milioni hapa, ukiondoa wachache ndio wanaomudu kukaa kimya bei zinapopanda.
Jamani hivi kwanini watanzania tunapinga kupanda kwa bei? au hatutaki maendeleo?
kupanda kwa bei kunaonyesha tunaenda na wakati? jamani hivi kweli mtagoma kwa kasababu kadogo tuu ka kupanda bei na kupanda kwa gharama za maisha?
Kaka acha kucheza na maisha ya Watu. Vijihela vyako ndo vinakufanya unakuwa na dharau ya kuongea hayo???? Shame on you!!!!!\
Unataka kusema kipato cha Mtanzania wa kawaida kinaendana na upandaji wa bei?????
NAOMBA UACHE DHARAU ZAKO ZA KUTUKNA HATA WAZAZI, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZAKO WENYE KIPATO AMBACHI HAKILINGANI NA GHARAMA ZA MAISHA...
huu ni mjadala huru na nadhani kwa upande wangu nadhani kupanda kwa bei kuna faida yake nawe pia ni wakati wako kuonyesha madhara ya kupanda kwa bei