Kwanini watanzania wanamlaumu mwalimu Nyerere kwa kukosa elimu?

nyinyi kweli mna kasoro hapa mnamsifia mtu ambaye hata watoto wake wa kuwazaa wanajuta kuzaliwa nae.hawana uwezo hata wa kuwa makatibu kata kwa maana alishindwa hata kuitake care familia yake.tumegubikwa watanzania tuna maradhi yasiyo na tiba may hapo alipodai uhuru kwa manufaa yake leo hii bila fikra za nyerere za kibinafsi usingelisema nchi haikuwa na kitu alipoichukua.shame on him. Think twice.

Sahiba.

0000000000000000000000000000000000000000%%%%%%%%%%%%
 
[FONT=arial, helvetica, times]Samahani wa JF Jedwari lilivurugika wakati na post. Jaribuni hili hapa chini ingawa nalo halipo kayika standard zinazotakiwa.[/FONT]

Kwa ujumla linaelezea hali ya elimu ya Juu kwa Tanzania wakati Mwalimu anaondoka madarakani mwa 1985 na jitihada zilizofanyika baada ya hapo kuboresha hali hiyo.
[FONT=arial, helvetica, times][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]University undergraduate enrollment in Tanzania, 1985-2000[/FONT]

[FONT=arial, helvetica, times]University of Dar es Salaam[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]2,987 85/86[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]3,544 95/96[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]3,770 96/97[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]4,131 97/98[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]4,172 98/99[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]4,816 99/2000[/FONT]​
[FONT=arial, helvetica, times]Muhimbili University College of Health Sciences[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]--- 85/86[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]357 95/96[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]379 96/97 [/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]443 97/98[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]548 98/99[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]626 99/2000[/FONT]​
[FONT=arial, helvetica, times]University College of Landsand Architectural Studies[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]-- 85/86[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]-- 95/96[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]91 96/97[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]463 97/98[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]501 98/99[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]728 99/2000[/FONT]​

[FONT=arial, helvetica, times]Sokoine University of Agriculture[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]480 85/86[/FONT]

[FONT=arial, helvetica, times]1,100 95/96[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]1,040 96/97[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]1,253 97/98[/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]1,300 98/99[/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]1,425 99/2000[/FONT][/FONT]​
[FONT=arial, helvetica, times]Others[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]-- 85/96[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]-- 95/96[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]-- 96/97[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]-- 97/98[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]-- 98/99[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]1,459 99/2000[/FONT]​
[FONT=arial, helvetica, times]Total[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]3,467 85/86[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]5,001 95/96[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]5,280 96/97[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]6,290 97/98[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]6,521 98/99[/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]9,054 99/2000[/FONT]

[FONT=arial, helvetica, times]Source: MSTHE, Some Basic Statistics. [/FONT]
 
Last edited:
Companero said:
Kuna tofauti kati ya 'free acccess to education' na 'free education'. Hatusemi elimu ilikuwa bure wakati wa Mwalimu.

Companero,

..hawa wanaodai wakati wa Mwalimu Nyerere elimu ilikuwa bure, au wanaposema "tulikuwa tukisoma bure," unafikiri wanazungumzia "free access to education"?

..kuna dhana iliyojengeka wakati ule wa Mwalimu kwamba serikali ina uwezo mkubwa sana na inaweza kufanya kila jambo. dhana hiyo ndiyo inayokwaza hata baadhi ya wachangiaji humu ndani, ambao ni wasomi waliobobea, kuamini kwamba Mwalimu aliwasomesha bure.

andindile said:
Tusingeweza kuwafikia Kenya kwa kuwa baada ya Mwalimu kuondoka mambo yalikwenda kinyumenyume. Kasi ya upanuzi wa Vyuo ilikwenda taratibu mno. Angalia Jedwari hapo chini angalia Idadi ya wanafunzu waliojiunga Chuo kikuu wakati Mwalimu anaondoka na na wakati Mwinyi anaondoka madarakani iliongezeka kiasi gani

andindile,

..kwasababu hapa tunazungumzia mafanikio ya utoaji elimu wakati wa Mwalimu Nyerere, ingekuwa vizuri tukawaacha pembeni Mzee Mwinyi na Mkapa.

..je, wakati wa Mwalimu Nyerere Tanzania ilipata kuwa na wanafunzi wengi zaidi Chuo Kikuu kuliko ndugu na watani wetu Kenya?
 
Kuvua samaki ndio tatizo kubwa. Nimeuliza swali mara nyingi hapa, ni nani aliye-finance sera za elimu? Hakuna anayetoa jibu.

Huwezi kusomesha watu bila kuwa na resources. Wahisani wali-pump money Tanzania hili baadaye tuweze kujitegemea wenyewe kiuchumi (KUVUA SAMAKI).

KUVUA SAMAKI hakukutokea. Na wahisani wakiacha kutoa misaada, wengi watarudi katika maisha ya Ujima.

- Mwalimu hakuwa na tabia za kula mpaka mtaji, baada ya Mwalimu kuondoka tu tukaanza kula mtaji wa elimu tunaopewa na wafadhili, sasa ulitaka baada ya kugundua kua tunakula mtaji wafadhili wafanye nini watuongezee tu mtaji tuendelee kuporomosha majumba Mbezi na Kunduchi?

- Ya uchumi na ya elimu hayaingiliani, tulikuwa tunapewa hela za elimu peke yake na uchumi peke yake, lakini still kama leo hatuwezi kuvua sio kosa la Mwalimu, kwa sababu what Mwalimu has to do na Richimonduli na Dowans?

Haya ya sasa ni matatizo yetu wenyewe ya kuruhusu njaa yetu kutudumaza kimaendeleo. Elimu yetu tumeiua wenyewe kwa sababu ya kuendekeza njaa yetu, sasa tusimlaumu Mwalimu, na yeye ndio ana ya kwake mapungufu lakini sio la elimu, ni hapana.

FMES!
 
Companero,

..hawa wanaodai wakati wa Mwalimu Nyerere elimu ilikuwa bure, au wanaposema "tulikuwa tukisoma bure," unafikiri wanazungumzia "free access to education"?

..kuna dhana iliyojengeka wakati ule wa Mwalimu kwamba serikali ina uwezo mkubwa sana na inaweza kufanya kila jambo. dhana hiyo ndiyo inayokwaza hata baadhi ya wachangiaji humu ndani, ambao ni wasomi waliobobea, kuamini kwamba Mwalimu aliwasomesha bure.

andindile,

..kwasababu hapa tunazungumzia mafanikio ya utoaji elimu wakati wa Mwalimu Nyerere, ingekuwa vizuri tukawaacha pembeni Mzee Mwinyi na Mkapa.

..je, wakati wa Mwalimu Nyerere Tanzania ilipata kuwa na wanafunzi wengi zaidi Chuo Kikuu kuliko ndugu na watani wetu Kenya?

Mkuu JokaKuu, heshima mbele sana,

- Mimi nilisoma bure nikiwa na maana wazazi wangu sikuwahi kuwaona wakilipia anything ili mimi kwenda shule, mdogo wangu mmoja alisoma shule ya kulipa niliwaona wakihangaika kumlipia shule wka sababu kuna wakati hela za shule yake zikicheleweshwa kulipwa alikuwa haendi shule mpaka zilipwe,

- Ndio maana ninaamini kwa 100% kwamba nilisoma bure, infact hata warrant za basi na treni ya kwenda shule nilikuwa ninapewa bure na serikali, nikiwa primary nilikuwa ninapewa uji bure wa bulga wenye picha ya mikono imeshikana na maneno ya JFK, na pia kila mwisho wa wiki nilikuwa ninapewa kopo la mafuta ya kupikia bure shuleni lenye maneno ya JFK, na pia mtaani kulikuwa na gari la kampuni ya Colgate & Palmolive, lililokuwa linagawa sabuni na dawa ya meno bure, Cinema za Charlie Champlin ilikuwa mchangani bure.

- Naona mna maneno mengi sana ya kujaribu ku-explain kwamba haikuwa bure, well mimi sikuwahi kulipia elimu kwa hiyo kwangu ilikuwa ni bure.

Respect

FMEs!
 
Naunganisha matukia kwa sababu watu wanataka kutuanbia kuwa wakati wa mwalimu elimu ya juu haikuwepo

Tanzania hauwahi kuwapita Kenya na hata sasa ambapo tuna vyuo kama utitiri bado hatujawafikiwa. Why? Wao wakati wa ukoloni miundombinu ya elimu ilikuwa more advanced zaidi ya Tanzania. Tanzania hawakuwa na chuo kikuu wakati wa kupata uhuru. Kwa Taarifa yako, TANU ndio waliotoa jengo lao kwa ajili ya kuanzishia kitivo cha sheria mwaka 1961. Sasa angalia hali iliyokuwepo na jitihada zilizofanyika
 
Companero,
andindile,

..kwasababu hapa tunazungumzia mafanikio ya utoaji elimu wakati wa Mwalimu Nyerere, ingekuwa vizuri tukawaacha pembeni Mzee Mwinyi na Mkapa.

..je, wakati wa Mwalimu Nyerere Tanzania ilipata kuwa na wanafunzi wengi zaidi Chuo Kikuu kuliko ndugu na watani wetu Kenya?

kwa nini tuwaache mwinyi, mkapa na kikwete??

kenya wametuacha kutoka enzi ya wakoloni
 
FMES said:
- Mwalimu hakuwa na tabia za kula mpaka mtaji, baada ya Mwalimu kuondoka tu tukaanza kula mtaji wa elimu tunaopewa na wafadhili, sasa ulitaka baada ya kugundua kua tunakula mtaji wafadhili wafanye nini watuongezee tu mtaji tuendelee kuporomosha majumba Mbezi na Kunduchi?

- Ya uchumi na ya elimu hayaingiliani, tulikuwa tunapewa hela za elimu peke yake na uchumi peke yake, lakini still kama leo hatuwezi kuvua sio kosa la Mwalimu, kwa sababu what Mwalimu has to do na Richimonduli na Dowans?

Haya ya sasa ni matatizo yetu wenyewe ya kuruhusu njaa yetu kutudumaza kimaendeleo. Elimu yetu tumeiua wenyewe kwa sababu ya kuendekeza njaa yetu, sasa tusimlaumu Mwalimu, na yeye ndio ana ya kwake mapungufu lakini sio la elimu, ni hapana.

FMES!

FMES,

..wakati Mwalimu anaondoka sekta ya elimu ilikuwa imeathirika vibaya.

..mfano mdogo:ktk shule ya serikali niliyokuwa nikisoma tulianza kukalia matofali kwasababu serikali haikuwa na fedha za kununulia madawati na viti.

..kinachosikitisha ni kwamba tumegoma kujifunza. makosa yaliyotokea wakati wa mpango wa UPE tumeamua kuyarudia ktk zoezi la sekondari za kata.
 
Tusingeweza kuwafikia Kenya kwa kuwa baada ya Mwalimu kuondoka mambo yalikwenda kinyumenyume. Kasi ya upanuzi wa Vyuo ilikwenda taratibu mno. Angalia Jedwari hapo chini angalia Idadi ya wanafunzu waliojiunga Chuo kikuu wakati Mwalimu anaondoka na na wakati Mwinyi anaondoka madarakani iliongezeka kiasi gani

[FONT=arial, helvetica, times]University undergraduate enrollment in Tanzania, 1985-2000[/FONT]

1985/86 1995/96 96/97 97/98 98/99 99/200

University of Dar es Salaam 2,987 3,544 3,770 4,131 4,172 4,816

Muhimbili University College of Health Sciences --— 357 379 443 548 626
[FONT=arial, helvetica, times]

[FONT=arial, helvetica, times]UCLAS -- -- 91 [FONT=arial, helvetica, times]463 501 728 [/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times]Sokoine University of Agriculture [FONT=arial, helvetica, times]480 1,100 1,040 1,253 1,300 [FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]1,425[/FONT][/FONT][/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times][/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]Others -- ---- ---- ------ -------- 1,459[/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times][/FONT][/FONT]
[FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times]Total 3,467 5,001 5,280 6,290 6,521 [FONT=arial, helvetica, times]9,054[/FONT]

[/FONT]
[/FONT][/FONT][FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times][FONT=arial, helvetica, times][/FONT]
[/FONT]​
[/FONT]​
[FONT=arial, helvetica, times]Source: MSTHE, Some Basic Statistics. [/FONT]

idadi ya watu imeongezeka university ni zile za nyerere wanafunzi wanakaa chini(UDSM) wakati wa nyerere wanafunzi wa UDSM walikaa chini?, walimu hawafundishi ipasavyo....

nyerere rais (1961 - 1985) 24 yrs vyuo kibao amejenga,
mwinyi,mkapa na kikwete (1985- 2009) 24 yrs chuo kimoja (UDOM) na bado hakijamalizika....

sio tu elimu, afya bure (kwa wale mnaokaa uk utaelewa nini maana ya NHS na faida zake), kwa wale mnaofatilia maswala ya siasa au mnakaa marekani mtajua kwamba 40m americans hawana health insuarance na hicho ni moja vitu vilivyomfanya obama ashinde urais kwa kuwaiidi universal health.

kutokana na ongezeko la watu lazima wanafunzi waongezeke.

kama nyerere aliweza kujenga tazara dowans isingekuwepo kwa ajili nyerere angewaambia anataka mitambo yetu wenyewe.

matatizo ya uchumi ya miaka ya 80, yalisababishwa na vita ya uganda. kwa ajili vita vililipiwa na sio bure, vita ya mapanga kenya ya uchaguzi mpaka leo kuna njaa, sembuse ya kwetu ya vifaru. lakini wanasiasa wa TZ hawataki kusema hathari za kiuchumi zilizosababishwa na vita.

kama si vita vya 1979 -late 1980, nyerere angefanya mambo makubwa zaidi
 
andindile said:
Tanzania hauwahi kuwapita Kenya na hata sasa ambapo tuna vyuo kama utitiri bado hatujawafikiwa. Why? Wao wakati wa ukoloni miundombinu ya elimu ilikuwa more advanced zaidi ya Tanzania. Tanzania hawakuwa na chuo kikuu wakati wa kupata uhuru. Kwa Taarifa yako, TANU ndio waliotoa jengo lao kwa ajili ya kuanzishia kitivo cha sheria mwaka 1961. Sasa angalia hali iliyokuwepo na jitihada zilizofanyika

andindile,

..miaka 24 ya uongozi bora na siasa safi za Mwalimu Nyerere kwanini tulishindwa kuwafikia na kuwapita Wakenya?

..miaka ya 60 Kenya walikuwa wanaleta wanafunzi kuja kusomea Sheria UDSM. sasa usije ukashangaa tangu walipoacha kuleta wanafunzi UDSM wanahitimisha wanasheria wengi kuliko Tanzania.

..zaidi, mmejisifia kwamba Tanzania tulikuwa tunaongoza Afrika kwa kuandikisha wanafunzi shule ya msingi, je kwanini sisi tumeendelea kuwa nyuma ktk idadi ya wahitimu ktk vyuo vikuu?

FMES said:
Mkuu JokaKuu, heshima mbele sana,

- Mimi nilisoma bure nikiwa na maana wazazi wangu sikuwahi kuwaona wakilipia anything ili mimi kwenda shule, mdogo wangu mmoja alisoma shule ya kulipa niliwaona wakihangaika kumlipia shule wka sababu kuna wakati hela za shule yake zikicheleweshwa kulipwa alikuwa haendi shule mpaka zilipwe,

- Ndio maana ninaamini kwa 100% kwamba nilisoma bure, infact hata warrant za basi na treni ya kwenda shule nilikuwa ninapewa bure na serikali, nikiwa primary nilikuwa ninapewa uji bure wa bulga wenye picha ya mikono imeshikana na maneno ya JFK, na pia kila mwisho wa wiki nilikuwa ninapewa kopo la mafuta ya kupikia bure shuleni lenye maneno ya JFK, na pia mtaani kulikuwa na gari la kampuni ya Colgate & Palmolive, lililokuwa linagawa sabuni na dawa ya meno bure, Cinema za Charlie Champlin ilikuwa mchangani bure.

- Naona mna maneno mengi sana ya kujaribu ku-explain kwamba haikuwa bure, well mimi sikuwahi kulipia elimu kwa hiyo kwangu ilikuwa ni bure.

Respect

FMEs!

FMES,

..ukweli ni kwamba serikali ilikuwa ikigharimia elimu kutokana na fedha za kodi ya wananchi, pamoja na misaada kutoka nje.

..sasa kama una taarifa za uhakika kwamba wazazi wako walikuwa hawalipi kodi ya aina yoyote, basi wewe ulipata elimu bure 100%.
 
andindile,

..miaka 24 ya uongozi bora na siasa safi za Mwalimu Nyerere kwanini tulishindwa kuwafikia na kuwapita Wakenya?

..miaka ya 60 Kenya walikuwa wanaleta wanafunzi kuja kusomea Sheria UDSM. sasa usije ukashangaa tangu walipoacha kuleta wanafunzi UDSM wanahitimisha wanasheria wengi kuliko Tanzania.

..zaidi, mmejisifia kwamba Tanzania tulikuwa tunaongoza Afrika kwa kuandikisha wanafunzi shule ya msingi, je kwanini sisi tumeendelea kuwa nyuma ktk idadi ya wahitimu ktk vyuo vikuu?

FMES,

..ukweli ni kwamba serikali ilikuwa ikigharimia elimu kutokana na fedha za kodi ya wananchi, pamoja na misaada kutoka nje.

..sasa kama una taarifa za uhakika kwamba wazazi wako walikuwa hawalipi kodi ya aina yoyote, basi wewe ulipata elimu bure 100%.

JIBU

na TANZANIA ilikua inapeleka wanafunzi MAKERERE, na KENYATTA UNIVERSITY, HIYO ILIKUA EXCHANGE PROGRAM, WATU WENGI WA ZAMANI WA TANZANIA WAMESOMA MAKERERE
 
Semilog said:
na TANZANIA ilikua inapeleka wanafunzi MAKERERE, na KENYATTA UNIVERSITY, HIYO ILIKUA EXCHANGE PROGRAM, WATU WENGI WA ZAMANI WA TANZANIA WAMESOMA MAKERERE

Semilong,

..it wasnt exactly an exchange program.

..mwanzoni kuanzia 1961 kulikuwa na University of East Africa[makerere,univ' college of nairobi,univ' college of DSM]. mwaka 1970 ndiyo kila nchi ikaamua kuwa na independent university.

..Univ College of DSM ilianzishwa about 5 yrs tangu Kenya waanzishe Royal Tech' College of Nairobu later on Univ' College of Nairobi.

..hakuna sababu ya msingi ya Wakenya kutuzidi kwa kiasi kikubwa ktk idadi ya wahitimu wa Chuo Kikuu. tulikuwa nao pamoja ktk University of East Africa.
 
si kweli kwamba mwalimu hakutaka tusome. Alitaka sana, but he went about it the wrong way. Alikamata, kwa nguvu, shule za makanisa na shule nyingine za watu binafsi. that was a colossal mistake.

leo hii, tungekataza shule za makanisa na shule za watu binafsi kama alivyofanya mwalimu si tungekwisha!

mwalimu won some and lost some. Let us learn not only from his successes but also from his mistakes.

shule za makanisa kipindi hicho zilkua zinapokea wakristu ndio maana nyerere akazifanya za serikali na zikawa zinapoke kila mtu.
Kuna waislamu mbalimbali waliosoma hizo shule za makanisa ilibidi wabadilishe majina
 
Semilong,

..it wasnt exactly an exchange program.

..mwanzoni kuanzia 1961 kulikuwa na University of East Africa[makerere,univ' college of nairobi,univ' college of DSM]. mwaka 1970 ndiyo kila nchi ikaamua kuwa na independent university.

..Univ College of DSM ilianzishwa about 5 yrs tangu Kenya waanzishe Royal Tech' College of Nairobu later on Univ' College of Nairobi.

..hakuna sababu ya msingi ya Wakenya kutuzidi kwa kiasi kikubwa ktk idadi ya wahitimu wa Chuo Kikuu. tulikuwa nao pamoja ktk University of East Africa.
jokaKuu,
Kuna sababu nyingi tu kwa nini Wakenya wametuzidi katika idadi ya wasomi kuanzia siku za ukoloni. Ukiangalia miaka ya 50-60 wakati Tanganyika tulijivunia kuwa na graduates watano kutoka Makerere Kenya ilikuwa na zaidi ya 20. The only way we could have caught up with Kenya is if Kenya stopped growring---but they have been growing at the same pace--while we are playing catch up. Nakumbuka 1961 Barclays bank pale Musoma ilikuwa na maafisa kutoka Kenya simply because there were no Tanganyikans to take up those positions. Hata wakati wa University of east Africa Kenyas were still ahead of us. Ingekuwa fair zaidi kama ungesema kuwa kuna wakati tulilingana katika idadi ya graduates na sasa wenzetu wametuzidi. But was there such a time?
 
uote:
Augustine Moshi

Alikamata, kwa nguvu, shule za Kanisa na shule za mashirika mengine. Ni pamoja na shule zifuatazo:

(1) St. Mary's College (ambayo baadaye iliitwa Tabora Girls)

(2) Assumpta College (ambayo aliamua kuiita Weru Weru)

(3) St. Francis College (ambayo aliamua kuiita Pugu)

(4) St. Andrew's College (ambayo aliamua kuiita Minaki)

(5) Mariam Collge (Shule ya Wasichana Morogoro)

(6) Umbwe Secondary School

Etc. Ni list ndefu sana.

Alikamata vile vile shule nyingine binafsi kama Lyamungo Secondary School na Alliance High School.

Mwalimu aliacha Seminari na shule chache za Kanisa (kama Kibosho na Kiraeni).

Mwalimu alikataza watu binafsi kuanzisha shule. Kwa kufanya hivyo, alidumaza sana Elimu ya Tanzania.

Ndugu yangu wakati tumepata Uhuru hakukuwa na mtu binafsi yoyote ambaye aliweza kuanzisha shule hata kwenye nchi za mabepari hawakuanza na shule za private ni serikali ndio ilikuwa inaanzisha shule na mpaka leo hii kwenye serikali zote za mabepari nyingi zinamilikiwa na seriklai na sio watu binafsi mfano na kwa faida yako Oxford and Cambridge ni shulle za serikali kwani kufanya reseach na development sio kazi mchezo na hakuna mtu binafsi ambaye angeweza kuanzisha elimu ya maana kipindi hicho

mpaka leo hii uk independent university ni moja tu BUCKINGHAM UNIVERSITY NA IMEJAA WAAFRIKA WATOTO WA VIONGOZI AMBAO HAWAKUFAULU VIZURI
JUMLA YA WANAFUNZI NI 500 -600.

VYUO VINGINE PRIVATE UINGEREZA NI VYA KICHOGI TUU

NANI ALIKUA NA UWEZO WA KUANZISHA SHULE TANZANIA KIPINDI HICHO LABDA WAZUNGU NA WAHINDI (MTU MWEUSI AGESOMA)
 
Jasusi said:
jokaKuu,
Kuna sababu nyingi tu kwa nini Wakenya wametuzidi katika idadi ya wasomi kuanzia siku za ukoloni. Ukiangalia miaka ya 50-60 wakati Tanganyika tulijivunia kuwa na graduates watano kutoka Makerere Kenya ilikuwa na zaidi ya 20. The only way we could have caught up with Kenya is if Kenya stopped growring---but they have been growing at the same pace--while we are playing catch up. Nakumbuka 1961 Barclays bank pale Musoma ilikuwa na maafisa kutoka Kenya simply because there were no Tanganyikans to take up those positions. Hata wakati wa University of east Africa Kenyas were still ahead of us. Ingekuwa fair zaidi kama ungesema kuwa kuna wakati tulilingana katika idadi ya graduates na sasa wenzetu wametuzidi. But was there such a time?

Jasusi,

..lakini si tuna taarifa kwamba tulikuwa tunaongoza Afrika ktk kuandikisha wanafunzi shule ya msingi?

..ni kitu gani kimetufanya tushindwe kuendeleza rekodi hiyo hiyo mpaka Chuo Kikuu?

..wakati wa East Africa Univ' Faculty of Law ilikuwa Dar-Es-Salaam, sasa ukisikia Wakenya wana wanafunzi wengi zaidi wa Sheria kuliko Tanzania utasemaje?

..mimi nadhani tu-trace our educational priorities toka tujitambue kama taifa. tujifunze toka kwa wenzetu, na tusione haya kusema kuna mahali tulikosea.
 
intersted observer,

unajua kwamba kuna watu waliokufa, wameshindwa kuzikwa na ndugu zao kwa sababu tu wamebadilisha dini?...huu upuuzi wa elimu ya dini kutawala elimu dunia na utu wetu unatoka wapi kama sio makombo ya fikra duni za kupandikizwa..hivi kweli mnaona maisha ya leo yana unafuu wowote ktk jumuiya zetu wakati watanzania tumepoteza kabisa values zetu leo hii tunaona uzungu na uarabu kuwa ndio deal..kiasi kwamba hata watoto wetu tunawakanya urafiki au ushirikiano na mtoto mwenye imani tofauti..

Mkuu wangu tanzania inakoelekea ni kubaya zaidi na sijui kama wewe umewahi kufikiria tanzania ya kesho itakuwa na picha gani..sasa kama nyerere alikuwa ameambukizwa na wachina sijui mfumo huu mtasema tunaambukizwa na utawala gani?..

Ohh by the way nimesema mfumo alioacha mwalimu hadi mwinyi, nikiwa na maana mfumo wa elimu sio mwinyi alichokifanya au utekelezaji wa utawala wa mwinyi..
Hata leo hii ndani ya mfumo huu anaweza kuja kiongozi akaongoza vizuri, lakini haina maana mfumo mzima ni mzuri.. Sikubaliani na dini kuwa chanzo cha elimu dunia ya mwananchi..

uzungu na uarabu kuwa ndio deal

wakristo wanajiona wazungu
waislamu wanajiona waarabu

mapadri na mashehe wakishabikia huu upumbavu
huku waumini wakishilia mabango
mod naomba kuwatukana viongozi wa dini tz (pumbavu)
najua ni nje ya mada lakini nimeshidwa kujizuia
watu wanawakataza watoto wao wasioe watu wa dini nyingine

Mkandara,
Nawashangaa kabisa wale wanaosema Mwalimu angemuiga Kenyatta kuliko Wachina.
Kenyatta was a tribalist. Full stop. Hata hizo shule za Harambee alifanya kwenye maeneo ya Wakikuyu. Na hata kama Mwalimu angefanya harambee tatizo la Tanzania wakati wa kuondoka mkoloni ni kwamba hatukuwa na waalimu wa kutosha kuzijaza hizo shule ambazo zingejengwa kwa harambee. Pia kama Mtanzania najivunia Kiswahili changu na Kiingereza nakitafuna sawasawa. Otherwise mkuu tupo pamoja.

ANGALIA CHINA ILIPO LEO SERIKALI YAKE INA BIGGEST FOREIGN RESERVE
KENYA WAKIKUYU NDIO WANAMASHAMBA WALIYOPEWA NA KENYATTA
HUYU JAMAA ALIYOSEMA NYERERE ANGEMUIGA KENYATTA YUKO DUNIA HII KWELI
 
Jasusi,

..lakini si tuna taarifa kwamba tulikuwa tunaongoza Afrika ktk kuandikisha wanafunzi shule ya msingi?

..ni kitu gani kimetufanya tushindwe kuendeleza rekodi hiyo hiyo mpaka Chuo Kikuu?

..wakati wa East Africa Univ' Faculty of Law ilikuwa Dar-Es-Salaam, sasa ukisikia Wakenya wana wanafunzi wengi zaidi wa Sheria kuliko Tanzania utasemaje?

..mimi nadhani tu-trace own educational priorities toka tujitambue kama taifa. tujifunze toka kwa wenzetu, na tusione haya kusema kuna mahali tulikosea.
Good questions, jokaKuu,
Lakini kwa kukujibu sahihi lazima niwe na takwim. Ni kweli kuna wakati tuliongoza katika kuandikisha wanafunzi shule za msingi. But it was not sustainable. What we should have done (in my opinion) wakati tunaongeza idadi ya wanafunzi katika shule za msingi, tungejitahidi vile vile kuongeza idadi ya shule za sekondari, na hasa hasa idadi ya waalimu wenye utaalamu, ili wanafunzi wanapomaliza sekondari wanayo basic skills hata kama hawatakwenda University. This was possible during colonial times na hata baada ya uhuru because the number of students who finished form four and six was small and could easily be absorbed in government jobs. Eventually the number grew and jobs became scarce. Tungejitahidi kutoa kipaumbele kuelimisha waalimu ili wakati tunajenga shule mpya tunao waalimu wa kutosha kujaza nafasi hizo. Was that possible? I do not know.
 
Jokakuu,
Mkuu samahani nimeingilia hoja hii katikati kwa sababu unanichekesha sana hapa..
Binafsi sina haja ya kuwa na takwimu isipokuwa kuelewa kilichofanyika wakati wa Mkoloni..
Kwanza swala zima linaanzia kwa mkoloni... kumbuka tu tulipoanzia...Huwezi kuchukua hesabu za Kenya ambayo majority ya wanafunzi waliokwenda shule walikuwa Wakristu kutokana na upendeleo wa Mkoloni ktk taifa wanalolitawala, ukalinganisha na Tanzania ambayo kulikuwepo na ubaguzi (sio Koloni na waislaam kukatwa) kiasi kwamba namba ya wanafunzi wanaoingia sekondary ilikuwa ndogo..
Hapa nikiwa na maana kwamba toka mwaka 1962, Kenya ambayo ilikuwa na shule nyingi, wanafunzi wengi, vyuo vingi ukalinganisha na Tanzania ambayo ilikuwa chini kwa kila kitu..kwanza tukubali tofauti hizo...kisha tujenge hoja ya mabadiliko aliyofanya Nyerere kutazama kama tuliweza kuongeza hesabu zaidi ya pale mkoloni alopotuacha...Ni Ujinga mkuu wangu kufikiria tairi la nyuma ya gari likaweza kulifukuza tairi la mbele..Kila hatua tunayopiga sisi na Kenya nao wanajiendeleza vile vile.. hatufukuzani nao ila tunatazama maendeleo yetu kulingana na mazingira yetu.

Inachukua miaka miaka 7 ( ya Primary + 4.Secondary O level +2 High school, jumla ya miaka 13 (14) kwa mwanafunzi kuweza ku enroll chuo kikuu.. Kwa hiyo hesabu ya Nyerere unainzia wapi?..
Kama ni 1961 basi jumlisha na miaka 14 ya matunda ya mkoloni kuingia Chuo kikuu ambayo inatupeleka hadi mwaka 1974 nikiwa na maana wanafunzi walioingia Chuo kikuu mwaka kabla ya 1974 ni hesabu ya wanafunzi walioanza primary school wakati wa Mkoloni...Nyerere hawezi kumrusha mtu aliyeanza shule ya msingi/sekondary mwaka 1961 baada ya Uhuru na kesho yake mwaka 1962 kumplekea chuo Kikuu ili ahesabike ktk fungu lake..

Na tukichukua kile tunachogomba hapa nadhani tunatakiwa kuangalia Watanzania walioingia Chuo Kikuu kabla ya mwaka 1974 na hesabu za mwalimu ili tupate kuona ongezeko au mabadiliko ya Elimu nchini ktk ngazi hiyo..
Halafu kama tunataka kuangalia takwimu za elimu baada ya mwalimu kuchukua shule za misheni mwaka 1967 ni vizuri tukiangalia takwimu zinazowakilisha mwaka 1980 kwani ndio mwaka wanafunzi walioanza ktk mfumo huo walifika University..
Kwa hiyo hata wanafunzi walio enroll Chuo Kikuu toka mwaka 1980 ni matunda ya mwalimu kwa kuzingatia kwamba hawa wanafunzi walianza shule ya msingi na sekondary kipindi cha Mwalimu..
As a fact, mwanafunzi aliyeanza Primary school mwkaa wa mwisho wa Nyerere which is 1984, alikuwa chuo Kikuu mwaka 1997..Hivyo ni kusema kwamba record zote za wanafunzi Chuo kikuu kabla ya 1997 ni matunda ya mwalimu kwani Chuo Kikuu kilikuwepo na kilijenga na mwalimu kuweza kubeba hesabu ya wanafunzi hao..
Ndio kusema kwamba Mkapa au Mwinyi hahusiki kabisa na hesabu (quantity) ya wanafunzi chuo Kikuu UDSM mwaka 1997 kurudi nyuma kwa sababu sii wao waliojenga chuo hicho kuweza kuchukua namba hiyo ya wanafunzi..Ongezeko lolote hapa katikati linatokana na ongezeko la shule na wanafunzi toka shule za msingi hadi sekondary wakati wa Nyerere..
Credit wanaweza kupata Mwinyi na Mkapa ni ktk matumizi ya shule hizi iwe ongezeko la walimu ktk vyuo vya walimu, vitabu, ukarabati na matumizi mengine yote yanayowawezesha wanafunzi wetu kumaliza masomo yao.. ikiwa ni pamoja na grades zao..
halafu mimi napinga sana haya matumizi ya hesabu za idadi ya watu kuwa kigezo cha elimu bora..Graduates wa Chuo Kikuu, iwe Ma engineer au Madaktari inaweza kushuka kutokana na sababu nje kabisa ya wingi wa shule kwani kuna swala la mitihani hapa..Unaweza kuwa na wanafunzi 100 chuo Kikuu lakini watakaofaulu/kumaliza ni asilimia moja wakati mwingine ana wanafunzi 20 na wakafaulu/kumaliza masomo wote... Factors zipo nyingi sana ktk utoaji wa elimu bora, lakini pamoja na yote haya siwezi kusema Nyerere alifanya kazi nzuri ngazi za Secondary ambapo binafsi naona Utata mkubwa zaidi kuwa asilimia 7 ya wanafunzi waliomaliza darasa la saba walikuwa na nafasi ya kujiunga shule hizi..
Lakini ukitoka secondary na kutazama juu utaona kwamba asilimia ilipanda kutokana na kwamba ni wachache walioweza kuingia O level hadi A level hivyo, hesabu ya wanafunzi Vyuoni (Colleges) na Vyuo Vikuu (Universities) haikuwa mbaya sana kulingana na ujenzi wa vyuo vya kila fani ya elimu vilivyoandaliwa kwa mapokezi..

Mwisho mkuu wangu ningeomba sana unipe jina la shule ya msingi na mwaka ulosoma wewe wakati wa Nyerere akakalia matofali kwani nina hakika wapo watu hapa JF waliosoma shule hiyo mwaka huo wanaweza kutusaidia kutupa uhakika zaidi.. Sikumbuki wala sijawahi kusikia tatizo hilo wakati wa Mwalimu, utakuwa umetusaidia sana kuzungumzia kitu ambacho tuna picha yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom