Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Naomba mnisaidie jamani hili swali kwanini akina NGOSHA a.k.a WASUKUMA wanapenda mabinti rangi nyeupe??
RAngi yao inawafurahisha sana
Dena kwani wewe mweupe??????? Lol!!!!!!!!
Hizi ni hadithi tu
Mbona mi Msukuma lakini sipendi kabisa hiro rangi jeupe?
Its a fallacy
Its a Tautology bulaza!! Nenda usukumani ukaoe binti mweupe uone utaambiwa ng'ombe wangapi!