Kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JEMEDARI .H., Jul 7, 2013.

 1. J

  JEMEDARI .H. JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Wana jf hebu nisaidieni kaz ya makalio makubwa yanayotingishika wakati wa kufanya mapenzi maana wanaume wengi wanapenda wanawake wa dizaini hiyo.
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2013
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,188
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 38
  Utafiti wako umeanzia wapi,umemuhusisha nani na kuishia wapi?
   
 3. J

  JEMEDARI .H. JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2013
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Hata wewe mwenyewe akikupita mwanamke mwenye makalio makubwa na yanatingishika utastuka.
   
 4. benja

  benja JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2013
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Wewe una makalio yapi?makubwa au madogo

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 5. M

  Mbuzi Ndizi Senior Member

  #5
  Jul 7, 2013
  Joined: Jun 27, 2013
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Ni kweli mwanamke mwenye makalio wanaume wanavutiwa nao lakini hawapendi kuwaowa kwani wana kashfa ya umalaya pia
   
 6. M

  Mbunda wanyina Senior Member

  #6
  Jul 7, 2013
  Joined: Jun 28, 2013
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukweli wanawake wenye makalio makubwa wanavutia xna
   
 7. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2013
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Hataree
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2013
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,732
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 63
  Makalio makubwa yanavuta hisia za ma lavidavi.
   
 9. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2013
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulemtetemo wake akipita mbele macho ya kidume mvuto tosha.Na kwa imani hiyo waume kuwahitaji kindoa imani nao huwa hapa.
   
 10. Dr.Mo

  Dr.Mo JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2013
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 3,830
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  yanavutia sana....umchoki pia mwanamke mwenye mzigo
   
 11. s

  snail JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2013
  Joined: Nov 8, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  Ukiwa chumbani na manzi wako ambae makalio yapo raha sana, ukiamua kuyashika kidogo ha ha au ukimuomba mpenzi kaniletee glass ya maji bac anakwenda huku ukiwa unamsindikiza kwa jicho kwa kutazama mtikisiko wa mkia wake, na huku ukijipa moyo kua ww ndio mmiliki wa kila alichi nacho manzi huyo!

  Hiyo ndo raha kwangu dhidi ya makalio ya mama watoto
   
 12. kabuya

  kabuya Senior Member

  #12
  Jul 7, 2013
  Joined: Jun 12, 2013
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Wengi wao wanakuwa wanene pia hivyo fungus haziwachezei mbali
   
 13. H

  HByabatto jr JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2013
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duu! fangasi tena...! Ngoja kwanza nile halafu nitarudi.
   
 14. dizzle kiraka

  dizzle kiraka JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2013
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 417
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Yanavutia kimapenzi katika muonekano wa nje ila wa ndani wote sawa
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2013
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 6,280
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 48
  Ukubwa wa pua tu!
   
 16. Mkami Lum

  Mkami Lum JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2013
  Joined: Feb 23, 2013
  Messages: 421
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawapendwi ila wanatamaniwa sana
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2013
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 17,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  definitely not my cup of coffee/
   
 18. Imany John

  Imany John Verified User

  #18
  Jul 7, 2013
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,529
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Wanasemaga raha ya nyumba choo.
   
 19. C

  Cynthia Chriss JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2013
  Joined: May 27, 2013
  Messages: 483
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Heading badala ya kupendwa ungeandika wanatamaniwa
   
 20. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2013
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 12,827
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 48
  umenena.
   

Share This Page