katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?
Wanawake wa siku ni NOMA!!
Hivi kwanini nyie wanaume mnajihisi kudharauliwa tunapokuwa na kazi?
katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?
Wasiwasi tu umewajaa hamna lolote. Mlizoea kunyanyasa wanawake kwa kuwa tu hawajiwezi kiuchumi, kitu ambacho kiliwapelekea wanaume kuwafanyia wanawake kila aina ya udhalimu mkijua hawana pa kwenda kwa kuwa maisha yatawashinda..lazima mkubali kwamba mambo yanabadilika. na si dharau kama mnavyoiita, ni upeo wa mwanamke kujitambua na kutambua haki zake, kuwa na uwezo wa ku question na kupewa majibu yanayostahili. Hivyo msiogope ni changamoto tu za maisha..you guys better take it positively. acheni wasiwasi na mambo yatakuwa shwari.
katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?
hawa wanandoa wanaodharauliana tu sababu ya kazi_sio ndoa ni ndoano,...by the way_kwa mtazamo wangu mm suala la mwanamke wako kukudharau linategemeana sana na wewe mwenyewe ulivyo.
Hivi kuna wanawake wa hivyo? basi mimi mke wangu hayupo hivyo na nime-generalize wanawake wote wako vizuri. Tatizo nisisi wanaume namna tunavyo wa-treat hawa wenzetu sivyo, we emagine mwanamke anaye nyanyaswa na kuambiwa maneno mabaya kisa tu kwasababu hafanyi kazi, wee unategemea nini siku akipata kazi? na hii si kwa wanawake tu hata wanaumekatika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?
<br />nafikiri uko sahihi kwa kiasi fulani,...hili suala liko kihisia zaidi,...maake mke wangu eti anidharau tu kwa sababu kapata kazi sio rahisi ki hivyo