Kwanini Wanawake wengi wanapenda kunywa kinywaji hiki

Savanna dry ina alcoholic % 9!! zaidi ya safari!! wewe unasema haileweshi?? Sema inapendwa na wanawake wanaopenda kuonekana wako juu au wale wachunaji. Utakumbuka zamani wanawake hawa walikuwa wanapenda Redd bull ambapo unakuta mtu anakunywa mpaka 4!!! wataalamu wa afya wanasema vinywaji vya aina ya REDD bulls si vizuri hasa vikitumiwa kwa wingi. Rafiki yangu moja daktari toka Thailand alishangaa sana alipokuta siku moja dada mmoja tuliyekuwa tumekaa naye meza moja kanywa kopo 3 za RB!!!!
haileweshi hii.wanawake wanaopenda savanna ni wale wanaonunuliwa sanasana.anatumia kama kigezo cha kukuchuna.dawa yao konyagi mzinga .mia

haileweshi hii.wanawake wanaopenda savanna ni wale wanaonunuliwa sanasana.anatumia kama kigezo cha kukuchuna.dawa yao konyagi mzinga.mia

Hujawahi kuniudhi ila leo umeniudhi sana nikuulizd wewe ushawahi kununua hiyo Savana?! Wanawake tunaweza sana tena usirudie kusema haya. Buku

Sijaelewa nikusaidie nini,............nadhani hapa Kiranga ndio angekufaa zaidi ndio mwenye uwezo wa kudeal na utata kama unaoleta wewe.

Nilikua nishakupata... I guess i was thinking out loud via the Key board... Hata hivo wee na Kiranga are on the same side of the book, hivo ingekua ni further maelezo ingebidi niombe unibadilishie kwa kuni refer...

Hujawahi kuniudhi ila leo umeniudhi sana nikuulizd wewe ushawahi kununua hiyo Savana?! Wanawake tunaweza sana tena usirudie kusema haya. Buku
Dena we usikatae ukweli! wanawake mu opportunistic sana, katika hali ya kawaida unakunywa maji/kesto/soda/safari n.k kama hivi lakini ukiwa na jamaa utadai ooh, savanna!

hehehe, utakoma! si ushaona bi mkubwa katafsiri 'ulevi'? haya, ww ni mlevi ama mpiga kilauri,lol!
choko choko muhimu,mfungo ushaisha,lol
hahaa hebu uachage choko choko bana
mi nimeuliza tu jameni....si naskika kuna wanywaji na walevi, au?

Wengine hatunywi kabisa vilevi....lol... Hivi Amarula nayo ni kilevi?? Kivumah help....
..AD Hongera kama hutumii kilevi, nice to hear that sista,
kuhusu Amarula, Read this, hapo chini, specifically maandishi mekundu.

Amarula is a cream liqueur manufactured in South Africa. It is made with sugar, cream and the fruit of the African Marula tree (Sclerocarya birrea) which is also locally called the Elephant tree or the Marriage Tree. It has an alcohol content of 17% by volume. It has had some success at international spirit ratings competitions, winning a gold medal at the 2006 San Francisco World Spirits Competition.[SUP][1][/SUP]

Dena we usikatae ukweli! wanawake mu opportunistic sana, katika hali ya kawaida unakunywa maji/kesto/soda/safari n.k kama hivi lakini ukiwa na jamaa utadai ooh, savanna!

Nimesema pombe za kununuliwa kwangu mwiko right?

Sijawahi kununuliwa kitu kinaitwa pombe! Na wala sifagilii kabisa
....Sina maana ya Pombe, i mean kinywaji kama Chai (coffee).
manake nimeshtuka umesema hufagilii kununuliwa chochote. haha hhhaa

....Sina maana ya Pombe, i mean kinywaji kama Chai (coffee).

manake nimeshtuka umesema hufagilii kununuliwa chochote. haha hhhaa

Kivumah kifupi mimi c tegemezi hata chembe mimi ndo nategemewa na msururu mkubwa right?

DA basi unakosa uhondo , bi dada hata uwe na bilioni kunako wallet lakini kununuliwa na mkaka raha , mm binafsi napenda sana ili mradi simuombi anitafute aniombe kunipa offer , hata wanaume baadhi waliwahi kunieleza hujisikia raha kutulipia bill hasa ukiwa mrembo lol

Mawazo ya kitumwa kabisa haya...........

utumwa umepata maana mpya ? Watu kujiamulia bila shuruti , inaonyesha wewe bahili kwa hiyo ukiclear bill kiroho kinakung'ata , wanaume wa kweli hujisikia raha baada ya kazi ngumu hupata mvinyo kwenye meza iliyosheheni warembo

Back
Top Bottom