Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

:doh:tatizo ni diet tu na aina ya kazi,wanawake wengi siku hizi hufanya kazi maofisini na hivyo hawatumii energy nyingi katika kazi wanazifanya,wakati huo huo wakila vyakula vyenye mafuta mengi ,wanga au sukari n.k asilimia kubwa ya vyakula hivyo huhifadhiwa katika mwili,hasa katka tumbo na ile,sehemu ya makalio. ...ufumbuzi ni kupunguza kula aina hizo za chakula na kufanya mazoezi au shughuli nyingi za mikono au hata kutembea umbali wa kutosha kwa miguu kila siku
 
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?


Mh! wanawake cku hz wanahela, acha 2..
 
mwanmke ukiwa na kitammbi unamkera mwanaume wako hata kama hajawahi kukwambia full stop,na hondoa mvuto na wala si kupunguza mvuto,mwisho
 
Hii siyo Bongo tu...nenda Zambia na South Africa ukajionee vitambi vya kufa mtu, utasema Bongo kuna afadhali.
 
Ni hizi madawa ya uzazi wa mpango ndo zinatusabishia vitambi kama vip nanyi mezen mtusaidie nahis vitambi vitahamia kwenu kama mnakereka sana
 
Mimi nina bonge la kitambi niffanyejeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?????????????? Nijibun jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Mimi nina bonge la kitambi niffanyejeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?????????????? Nijibun jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Zingatia mlo. Punguza kula. Punguza kula vyakula vya protini na vyenye mafuta mafuta kwa wingi km chipsi mayai, chipsi kuku na nyama kiujumla.

Vilevile punguza unywaji wa pombe (kama unatumia) na Vinywaji baridi (soft drinks) vyote km soda, juisi, wine nk. Pendelea kunywa juisi za matunda halisi (zisizo za viwandani). Kama hapo nyumbani pana umeme ni bora ukatafuta brender ukawa unatengeneza mwenywe.

Fanya mazoezi ya mwili; Kukimbia, kuruka kamba, push-up, matembez nk. Km upo mjini jenga tabia ya kutembea kwa miguu kwa safari fupi fupi ambazo hazihitaji haraka. Kwa mfano kwa jiji kama la Dar, umbali wa karume-kariakoo, posta-kivukoni, fire-muhimbili, fire-kariakoo nk tembea kwa miguu
 
Kila nikipataga fursa kutembelea Dar es salaam huwa naanza uchunguzi wangu,

Asilimia kubwa ya wanawake wa dar es salaam wana vitambi,

Hamjui kwamba mwanamke ikishakuwa na kitambi uzuri na urembo wake hupoteaa??

Mbaya zaidi awe na kitambi alafu awe na maziwa makubwa utamkimbia,

Wanawake jaribu ku maintain figures zenu,
Najua na hapa JF wamejaa

images (7).jpeg
 
bora ingekuwa vitambi tu. sasa minyama nyama imeshaona tumbo halitoshi inasambaa na kuweka mapingili kiunoni

sababu mkuu ni hizi C'lite na nyama choma sasa usiweke na hizo chips kuku wa kisasa ndio balaa
 
bora ingekuwa vitambi tu. sasa minyama nyama imeshaona tumbo halitoshi inasambaa na kuweka mapingili kiunoni

sababu mkuu ni hizi C'lite na nyama choma sasa usiweke na hizo chips kuku wa kisasa ndio balaa
Hahaha
 
Back
Top Bottom