Kwanini wanawake wembaba ni wasumbufu sana kwenye mahusiano?

Hapo kabla, ilipatwa kunenwa na Wahenga ya kwamba, nyota njema huonekana asubuhi na aidha, ukipata tarumbeta na hakuna anayekuja kuliazima, basi lichukue mwenyewe kisha simama kati kati ya uwanja wa nyumba yako na uanze kulipuliza kwa sauti ili kila mmoja afahamu kwamba nawe unamiliki tarumbeta!

Si kazi nyepesi kumfurahisha Bint Mfalme, na ili mradi nimefanikiwa katika hilo, wala sitasubiri atokee jirani au mtu wa mbali, iwe ndugu au baki ili eti ndie aanze kutangaza mafanikio yangu haya! Nachukua nafasi hii mimi mwenyewe, huku nikiwa nimejawa na majivuni na siha njema na hatimae kusimama kati kati ya uwanja wa nyumbani kwangu na kuutangazia umma kwa sauti ya juu "nimemfurahisha Bint Mfalme, nimemfurahisha Bint Mfalme!"

Naamini maneno ya Wahenga yatatimia!

Haya asante nimefurahi.Maneno ya wahenga yametimia tayari.
 
Da umeniumiza sana mpaka najiona mm si binadamu na sifai kua na mwanaume ila nasisi tumeubwa hivyo na mungu katuumba kwa makusudi yake amna asiye na kasoro unavyosema tunajifanya na ss wanawake ulikua unataka tujifanye wanaume hata kama nyapu zetu zimesinyaa wapo wanaozifurahia kama unaona ni mifupa wapo wanaoona ni nyama nakuombea mkeo aje akuzalie au kama keshakuzalia mabinti zako wawe wanene na **** zao ziwe zimejaa sawa
ahh jamani dadangu mbona unaumia vitu vidogo kiasi hicho? kweli wewe ni mwanamke halisi manake wanawake wengi wana roho ndogo kama wewe sio kama magumegume hapo angenirushia matusi rundo na wala asingeumia. OK, ki ukweli hapa tunataniana tu wala hatusemi ukweli. kiuhalisia, kati ya wanawake wembamba na wanene, wanaoongoza kuolewa ni wembamba, na wanaoongoza kupata wanaume ni wembamba. why? kwasababu wanaume wengi hasa wa kiafrica wanapenda wanawake wembamba kwasababu wanawake wembamba unaweza kumgeuza upendavyo. hao wanene wengi huwezi kwenda style zote kwasababu ya umbo lao hivyo huwezi kuwaenjoy sana. ila wembamba unaweza kumgaragaza kwa style zote hivyo mwanaume ukaondoka pale umeondoa nyege zote na huwa hatuwaachi. hapa tunaongea tu hata mimi mama watoto wangu (wakubwa kama wewe pengine) siku zote nimekuwa nikmlazimisha kufanya mazoezi aondoe tumbo (baada ya kuzaa huwa linakua) na awe mwembamba asiwe manyama uzembe kwasababu mnene huwa ni mzito sana na hanengui vizuri na anachoka haraka. ndio maana unaona wanawake wengi wanaenda jimu ili wawe wepesi kwenye yale mambo yetu na wanawake wembamba ni wepesi kwenye mambo yetu yale.

ukiona mwanaume anamtaka mwanamke mnene, hasa mwenye mimatako, mara nyingi (sio wote) anamtaka tigo yake tu ndio maana utakuta anaangalia sana mattako na si kwingine....hivyo wewe kama mwembamba usipate shida hapa wakati mwingine tunataniana tu wala hatumaanishi. usiumie moyo mdogo wangu/binti yangu.

vilevile, wanaume wengi wanapenda wanawake wembamba kwasababu ya kuzaa, wanawake wembamba wanazaa sana tena salama. wanene wengi wanazaa kwa shida na kwa operation. ukienda labour wanawake wale wanene wanafungwa kabisa mguu mmoja huku mwingine kule ili wasibane watoto wakawaua wanapotoka. ila mwembamba anatanuka kilaini na anazaa kwa usalama. kuna mengi sitakwambia hapa ila kiufupi, 80% ya wanaume tunawapenda nyie wanawake wembamba hata ukiona hapa tunajifanya kupenda wanawake wanene ni basi tu, ila kiuhalisia wembamba ndio unahisi kummiliki vizuri wewe kama mwanaume. imagine mwanaume anakuwa mwembamba na mkewe mnenee, au wote mume na mke wanakuwa wanene utakuta wanajiona kama wako sawa ndani. wanaume huwa tunatafuta mke atakayekuwa chini yako, nikiwa na wewe nahisi uko chini yangu kwa kila kitu kwa mwili, kwa kila kitu na ninahisi ninao wajibu kukulea...hahaha

umeridhika? au nikupe vidonge vingine?
 
Awali nilifikiri nimegundua mimi peke yangu kumbe tupo wengi. Mtoa mada mm nakusupport kwa 100%. Tatizo la jamii forums ni kwamba kuna watu wanajua ukweli lakini kwa kujivunga wanapinga pinga vitu vingi vya ukweli kabisa. Usikate tamaa, lete tafiti nyingine zaidi!!!

Through my personal experience, nimekutana na hiyo hali kwa mtu wa aina hiyo ila nahitaji kufanya utafiti zaidi ili kurelate tabia zao na maumbile waliyonayo.
Inashangaza sana, mtu anakwambia usiniache, usinisaliti lakini ndio anakuwa chanzo cha kukufanya uanze kufukiria kuingia katika relationship mpya kwa vituko visivyoisha, utoto utoto wakati ana umri wa kutosha, kususa, ghubu lisilokwisha, kulalama!
 
Hawa viumbe kumsumbua mwanamme wala haihusiani na mwili wake bali akiisha jua 100% kama kaisha kukamata kimapenzi huwa wanaanza usumbufu!Mm X wangu alikuwa mnene lkn alikuwa anasumbua mno

Hawa wapenzi wetu ni wabantu hata ukimpenda mno ww jifanye upo upo tu hapo mtakaa vyema!Kabla sijawagundua nilipata sana nao shida
 
Definition simple:

What they lack in stature they compasate in swagger, usumbufu na maneno mengi

If I had to date a Slender woman, I would go for the one who shows confidence in herself, maturity, appreciates her own self without trying so hard to show that she does that, honest, trusting, and who can keep calm when she suspects Im cheating.
 
ahh jamani dadangu mbona unaumia vitu vidogo kiasi hicho? kweli wewe ni mwanamke halisi manake wanawake wengi wana roho ndogo kama wewe sio kama magumegume hapo angenirushia matusi rundo na wala asingeumia. OK, ki ukweli hapa tunataniana tu wala hatusemi ukweli. kiuhalisia, kati ya wanawake wembamba na wanene, wanaoongoza kuolewa ni wembamba, na wanaoongoza kupata wanaume ni wembamba. why? kwasababu wanaume wengi hasa wa kiafrica wanapenda wanawake wembamba kwasababu wanawake wembamba unaweza kumgeuza upendavyo. hao wanene wengi huwezi kwenda style zote kwasababu ya umbo lao hivyo huwezi kuwaenjoy sana. ila wembamba unaweza kumgaragaza kwa style zote hivyo mwanaume ukaondoka pale umeondoa nyege zote na huwa hatuwaachi. hapa tunaongea tu hata mimi mama watoto wangu (wakubwa kama wewe pengine) siku zote nimekuwa nikmlazimisha kufanya mazoezi aondoe tumbo (baada ya kuzaa huwa linakua) na awe mwembamba asiwe manyama uzembe kwasababu mnene huwa ni mzito sana na hanengui vizuri na anachoka haraka. ndio maana unaona wanawake wengi wanaenda jimu ili wawe wepesi kwenye yale mambo yetu na wanawake wembamba ni wepesi kwenye mambo yetu yale.

ukiona mwanaume anamtaka mwanamke mnene, hasa mwenye mimatako, mara nyingi (sio wote) anamtaka tigo yake tu ndio maana utakuta anaangalia sana mattako na si kwingine....hivyo wewe kama mwembamba usipate shida hapa wakati mwingine tunataniana tu wala hatumaanishi. usiumie moyo mdogo wangu/binti yangu.

vilevile, wanaume wengi wanapenda wanawake wembamba kwasababu ya kuzaa, wanawake wembamba wanazaa sana tena salama. wanene wengi wanazaa kwa shida na kwa operation. ukienda labour wanawake wale wanene wanafungwa kabisa mguu mmoja huku mwingine kule ili wasibane watoto wakawaua wanapotoka. ila mwembamba anatanuka kilaini na anazaa kwa usalama. kuna mengi sitakwambia hapa ila kiufupi, 80% ya wanaume tunawapenda nyie wanawake wembamba hata ukiona hapa tunajifanya kupenda wanawake wanene ni basi tu, ila kiuhalisia wembamba ndio unahisi kummiliki vizuri wewe kama mwanaume. imagine mwanaume anakuwa mwembamba na mkewe mnenee, au wote mume na mke wanakuwa wanene utakuta wanajiona kama wako sawa ndani. wanaume huwa tunatafuta mke atakayekuwa chini yako, nikiwa na wewe nahisi uko chini yangu kwa kila kitu kwa mwili, kwa kila kitu na ninahisi ninao wajibu kukulea...hahaha

umeridhika? au nikupe vidonge vingine?

Dah! Mkuu umejieleza mpaka wewe sasa ndio unaanza kutia huruma, umeambiwa utafungwa? Wewe ni wakili nini? Maana ndio ambao wanajua sana namna ya kumbadili fisi akawa punda na wakaprove kwa ushahidi madhubuti usio na mapungufu.
 
Da umeniumiza sana mpaka najiona mm si binadamu na sifai kua na mwanaume ila nasisi tumeubwa hivyo na mungu katuumba kwa makusudi yake amna asiye na kasoro unavyosema tunajifanya na ss wanawake ulikua unataka tujifanye wanaume hata kama nyapu zetu zimesinyaa wapo wanaozifurahia kama unaona ni mifupa wapo wanaoona ni nyama nakuombea mkeo aje akuzalie au kama keshakuzalia mabinti zako wawe wanene na **** zao ziwe zimejaa sawa

Mambo ya humu usiwe unayachukulia kama ndio kanuni zinazoendesha maisha, uhuru wa kuandika unasaidia wengi kujifunza ikiwa ni pamoja na wewe. Kwa mfano, unapomlaumu huyu kwa kukosoa wanawake wembamba, umejaribu kupitia comment za wanaowapenda? Kwanini usizichangie hizo pia?
Nitakujibu kwanini? Ni kwa sababu tangu mwanzoni, kabla hata huyo jamaa hajacomment, ulikuwa tayari una mtazamo hasi juu ya umbo lako, alichokifanya ni kukuthibitishia tu kama ubongo wako ulivyokuwa ukitaka na wewe kuishia kuconclude hivyo.
Kuwa slim si kitu kibaya, be happy and love that body, wengi wsnautaka lakini hawaupati.
Jifunze kupitia hizo comments, uliza maswali kwanini wengine wanapenda wembamba ili ujue strengths ambazo unapaswa kuziboresha na kwa kupitia negative comments tambua weakness zako uzirekebishe.
Smile and be happy, life is full of shitty stuff, you can't enjoy it if you cant take that!
 
Back
Top Bottom